Wassira: Natamani kucheza mchezo wa Biko

Mtarban

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2015
Posts
3,936
Reaction score
5,209
Akihutubia katika ufunguzi wa Kampeni huko Kinondoni, Waziri msaafu Bwana Steven Wassira amesikika akitamka mbele ya hadhara kuwa anatamani kucheza Biko, kwa kuwa ni mchezo wa hela Nyingi na unamuona mtu akikabidhiwa kitita chake Live.

Awamu hii siasa haina madili, uwe upinzani, au chma tawala. Tutamani hadi kucheza Vigodoro awamu hii
 
Acheze tu, hamna namna manake uchezaji wa karata tatu, a.k.a karata tatu za kidijitali a.k.a michezo ya kubahatisha ndio mafanikio makubwa kabisa ya kibiashara kwenye awamu ya tano!

Ngoma ni pale hizi karata tatu za kidijitali zitakapohamia vijijini... halafu mlazimishe wenzenu wakalime??!! Haitakuwa haki...
 
Kama ni kweli kasema hivyo, basi anashabikia Tanzania ya Mikeka.
 
Akihutubia katika ufunguzi wa Kampeni huko Kinondoni, Waziri msaafu Bwana Steven Wassira amesikika akitamka mbele ya hadhara kuwa anatamani kucheza Biko, kwa kuwa ni mchezo wa hela Nyingi na unamuona mtu akikabidhiwa kitita chake Live.

Awamu hii siasa haina madili, uwe upinzani, au chma tawala. Tutamani hadi kucheza Vigodoro awamu hii
Hahahaaaaa...namba inasomeka, walidhani Mbowe na Lissu ndio wataisoma namba, na bado.
 
Acheze tu, hamna namna manake uchezaji wa karata tatu, a.k.a karata tatu za kidijitali a.k.a michezo ya kubahatisha ndio mafanikio makubwa kabisa ya kibiashara kwenye awamu ya tano!

Ngoma ni pale hizi karata tatu za kidijitali zitakapohamia vijijini... halafu mlazimishe wenzenu wakalime??!! Haitakuwa haki...

BIKO, TATU MZUKA, SPORT PESA NA BAJAJ 100, etc ndiyo nchi ilipolalia. Badala ya kujaza magazeti na television na bithaa za viandani kama unga wa mahindi, mafuta ya alizeti, sabuni, nguo magazeti yamejaa matangazo ya kamari.
 
Zee jinga hili limeacha enda kanisani linaenda kampeni
 
halafu unataraji tumbo hilo hilo limpiganie mnyonge !!!!!
 
Akihutubia katika ufunguzi wa Kampeni huko Kinondoni, Waziri msaafu Bwana Steven Wassira amesikika akitamka mbele ya hadhara kuwa anatamani kucheza Biko, kwa kuwa ni mchezo wa hela Nyingi na unamuona mtu akikabidhiwa kitita chake Live.

Awamu hii siasa haina madili, uwe upinzani, au chma tawala. Tutamani hadi kucheza Vigodoro awamu hii
Wewe hujaielewa Biko anayozungumzia Wasira!
 
Yaani Wassira ndio kakabidhiwa jukumu la kumvusha Mtulia ng'ambo ya pili! Ukitaka Tyson akutwange ngumi mtajie jina na Esther Bulaya
 
Back
Top Bottom