Wassira: Lukuvi alijiunga TANU 1954

Ngurukia

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2023
Posts
6,074
Reaction score
22,746
Inakuwaje mtu aliezaliwa 1955 ajiunge na TANU 1954.

Kwamba alianza siasa akiwa tumboni mwa mama yake?

Ukute Wasira hata hajui anamuongelea nani hapo.

CCM wampumzishe huyu mzee kabla hajajidhalilisha zaidi. Inatosha sasa.

Your browser is not able to display this video.
 
Ni fedheha. Huyu mzee alipaswa kuwa anacheza na vitukuu akisubiri wito wa Mungu. Ila mi CCM kama kawaida yao huwa haifikirii.

Sio ajabu mzee anadhani yupo kwenye msiba wa kikongwe mwenzie.
Kama amesema hivyo kweli basi fisiem ni laana kubwa sana kwa nchi hii!
 
Mzee amechoka, akili na mwili havilandani tena ! Wachana na kuongea mbovu/boko, anaweza kukaa mahali akajikuta amepata haja ! Astaafishwe kwa lazima
CCM ni mithili ya mjenga nyumba ya udongo halafu akaipiga lipu ya cement.

Kwa vile wamempaka Super Black kichwani basi wanaamini ni kijana tayari.
 
Kuna umri wa serikalini na chama, kuna umri wa kidini, kuna umri wa shule. Hivyo ndivyo walivyo baadhi ya watu wa zamani.
Wengine hata majina yanatofautiana kutegemeana uko kwenye shughuli zipi. Bashite na waziri fulani unaweza kuta wana umri tofauti wakati ni mtu mmoja., ingawa pia kabashite ni katoto ka juzi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…