Wassira hata my son anapenda style yako

Wassira hata my son anapenda style yako

mgonjwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2013
Posts
514
Reaction score
223
Pendeza sana
 

Attachments

  • 1424156014875.jpg
    1424156014875.jpg
    91.7 KB · Views: 713
Hivi alikosea kufunga koti au ilikuwa style? Labda katika kushtuka usingizini alijikuta anafunga koti harakaharaka jamani! Maana ni mzee wa sleep well kila saa:smile-big::smile-big::smile-big:
 
Ila Mkeo Ndo Anaipenda Hyo Style.Huyo Dogo Unamcngzia Coz Hajui Lolote!
 
Hakana hata wasi kwa raha zake kwa kweli utoto una raha yake
 
Back
Top Bottom