Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,933
Kama Wasira anaweza kututhibitishia nyumba anayojenga "kwa msola" Arusha na nyinginezo nyingi nchini kote pesa zilikotoka, basi ana haki ya kusimama kiume na kunyooshea wenzake kidole la sivyo akae kimya.. uwaziri hauna kipato cha kufanya haya anayofanya sasa.