Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 21,854
- 26,093
babu bwana ha ha ha /
kwa ccm rafu huchezwa NA wazee/
kwa ccm rafu huchezwa NA wazee/
Nipo tatizo la viongozi ccm wanajiona kama wao ndo wanaomiliki hii nchi
Porojo za asubuhi asubuhi.
Tanzania mambo yanaenda kienyeji sana, sasa alichofanya Wasira kama ni kweli sio kosa kisheria?? Na kama ni kosa si alitakiwa awe exempted kwenye kinyang'anyiro???
Mwenzio anatokaa hivyoo.Sio wewe unashinda ukijipara na wala hamna uendako.Kazi kushindia umbea jf .anyway karibu ukawa tulimwage dubwasha hili ccm.
hata vijana , si umeona jinsi january alikurupushwa na cdm bumbuli ?babu bwana ha ha ha /
kwa ccm rafu huchezwa NA wazee/
Madodoki united
View attachment 279031View attachment 279032View attachment 279033View attachment 279034View attachment 279035View attachment 279036
Ninyi na mahusiano ya jinsia ya moja msituletee Bunda, HUKO HUKO Kawe-Dar Es Salaam...Sasa yeye Katumwa na Mume wake agombee Ubunge, ninyi wapambe Msije mkajifunza mambo ya Lamu na Mombasa, Oct akishindwa Ubunge anarudi Dar kuwaacha na tabia ZA ajabu HAPO Bunda
Kaahidi kuleta maendeleo ndani ya miaka mitano 2015 to 2020! Is he serious?