Arushaone
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 15,235
- 13,539
Mzee kajichagulia kaburi lake mwenyewe, acha azikwe October na chama chake.
Post of the day!
Mzee kajichagulia kaburi lake mwenyewe, acha azikwe October na chama chake.
Halafu mkuu wa wilaya anasema eti ni makosa tu ya kibinadamu!Wakati ni uvunjifu wa amani na ukosefu wa maadili.
Mkuu sheria,haki,uzalendo na busara kwa watanzania havipo tena tumebaki na uroho na ushabiki wa kisanii was kulindana sio wa kulinda haki za walio wengi.daftari la wadhamini ni mali ya serikali, mtu kuondoka nalo ni kuvunja sheria, bunda hakuna polisi? hawakupewa taarifa? au ndio kawaida ya bora liende?
bulaya it seems unatikisa bunda eeh?? wana bunda tupeni hali ya upepo hapo bundaz
[/QUOTE![]()
It is like Beauty and the beast
Nimefungua hii picha nikiwa na mwanangu wa miaka minne ghafla akadondoka huku akilia kwa sauti na kuita baba baba ... nilipomwuliza nini kasema shetani. nikapatwa na wasiwasi sana nikamdadisi japokuwa hakutaka hata kufumbua macho yake akasema kwenye simu yangu kuna picha ya shetani ndo nikarud mara ya pili kuzichek picha tulizongua nae (za wasira&bulaya) ndo nikahisi ndo tatizo maana aliziona. nilipomwuliza tena akasema hiyo juu yaani ya tyson ninecheka mpaka basi maana kweli picha ya mbunge inatisha sana.
Unajua hili jeshi la polisi ni la kudharau sana,lenyewe kumbe linaubavu kuwadhibiti wapinzani tuu tena bila kufuata sheria.Halafu mkuu wa wilaya anasema eti ni makosa tu ya kibinadamu!Wakati ni uvunjifu wa amani na ukosefu wa maadili.
Katika hali ya kusikitisha mbunge anayemaliza muda bunda wake mzee wasira jana saa 1:30 asubuhi alienda kujaza daftari la wadhamini baada ya kujaza aliondoka nalo ili wagombea wengine wasijaze.
Mgombea CHADEMA Ester Bulaya alifika kujaza daftari hilo na kukuta daftari hilo halipo hali iliyozua sintofahamu, mwanamama bulaya alichanganyikiwa kwa kweli na kusababisha kuhaha! Baada ya mambo kuwa magumu ilibidi watu wazame kwenye sheria na ndipo wakaja na style ya kumuuliza ester kama ana vitambulisho vya wadhamini wake bahati nzuri alikuwa navyo na jahazi likawa limeokolewa.
Hii ndo ilikuwa mbinu ya mwisho kwa Wasira na kwa kuwa imeshindikana ndo basi tena make kwenye sanduku la kura wasira hamuwezi Bulaya.
Katika kupiga story na mzee mmoja wa CCM hapa jimboni kuhusu haya mambo ya uchaguzi, mzee huyo alifunguka 'tulimuambia mzee Wasira apumzike amuachie huyu binti lakini akawa mbishi, sasa mambo yameharibika huyu binti kaenda upinzani na ndo wanabunda tunayependa atuongoze sote vijana na wazee, huyu binti katufanyia kazi kwa kweli, katusaidia sana wazee katika suala matibabu, hapa wa kulaumiwa ni wasira mwenyewe kwa chama kupoteza hili jimbo'.
Ameliteka kapotea nalo kusikojulikana.Yaani majanga na lazima atapiga mtu dalili ya mvua ni mawingu.