Wont be the same
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,564
- 2,483
Makamu Mwenyekiti Wa Chama Cha Mapinduzi Bara Ndg.Stephen wasira amefika tayari Mkoa Wa Mbeya tayari kwa ziara ya Sikuu Nne ambapo atatembelea wilaya zote za Mkoa Wa Mbeya kwa Ajili ya Kusikiliza kero za Wananchi pamoja na kufanya vikao mbalimbal na Viongozi wa CCm Mkoa WA MBEYA
Baada ya kufika mkoa wa mbeya amesimikwa uchifu na chifu mwashinga
Baada ya kufika mkoa wa mbeya amesimikwa uchifu na chifu mwashinga