Kweli kabisa mkuu Theory is a very different thing from uhalisia kivitendoTumekupata mkuu na mie nilikuwa namwangalia mzee mzima Wasira akiwakilisha, unajua unaweza faulu chuoni lakini ukija uraiani huku utatumiaje elimu yako kuleta mabadiliko mfano mzuri washukuru wao ni wabunge na walipata kazi soon walipomaliza chuo, kuna watu wapo uraiani na wanasema wachumi lakini kichwani hana hata plan ya kufanya shughuli binafsi za kiuchumi. Wasira ila ana kipaji na yeye cha kuwakilisha kama ni mgeni wa nchi hii unaweza sema yote yaliyosemwa yatatekelezwa kumbe hapo kila mpango uliowekwa tayari kuna assumption pembeni ambayo akimaliza tu kusoma wanakaa timu ya ufundi kujadili namna ya kupangua hoja incase kama mpango usipotekelezeka
Hahahahaaa huyu jamaa huwa ananifurahisha sana akiwa anaongea maana he is a politician ambaye ofcoz nafurahi akiwa anaongea then nasahau alichoongea akimaliza but i like watching and listening to him
amewashauri wabunge kutumia hoja kujibu hoja badala ya hasira kwani hasira inasababisha akili ya mtu kusimama kufikiri na ikisimama kufikiri wabunge watashindwa kuleta maendeleo kwa wananchi.....big up .
Nadhani ndio maana JK amemvuta karibu yake ili apate nondo zake za kumtia moyo
Amwambia kupata A hakuna maana ila namna gani unaitumia hiyo A .............
wassira kakataa kifo kinachotokana na wenye malori kuhujumu reli amewaambia wauze malori yao kwani mwakyembe anakuja kwa kasi kujenge reli ili reli zijengwe kuokoa barabara kutokana na mizigo mizito kama shaba au chuma ambavyo havibebwi na barabara....
amesema wenye malori wanataka kutuuwa kwa ajili ya faida yao kasema kifo hicho hakikubali wafe wao.
wassira kakataa kifo kinachotokana na wenye malori kuhujumu reli amewaambia wauze malori yao kwani mwakyembe anakuja kwa kasi kujenge reli ili reli zijengwe kuokoa barabara kutokana na mizigo mizito kama shaba au chuma ambavyo havibebwi na barabara....
amesema wenye malori wanataka kutuuwa kwa ajili ya faida yao kasema kifo hicho hakikubali wafe wao.
Leo jamaa anaongea point sana tatizo utakelezaji maana wanajua kabisa reli katika nchi yoyote duniani ni kwa ajili ya kusafirisha mizigo mizito na kazi ya serikali ni kutoa ruzuku kwa reli ili isafirishe mizigo mingi mwisho wa siku barabara zetu zinalindwa na kudumu muda mrefu, vivid example 1997 - 2001 barabara ya Mlandizi - Dar ilijengwa upya lakini baanda ya miaka 10 tunaambia barabara inajengwa tena, check barabara ya Iringa - Makambako nayo inajengwa upya na Barabara ya Musoma - Mwanza pia inajengwa upya. Kwa style hii hatuwezi fika maana barabara hazidumu muda mrefu
Amwambia kupata A hakuna maana ila namna gani unaitumia hiyo A .............
Labda kama angetueleza kuwa walishaliongea jambo hili kwenye vikao vyao vya ndani. Maana wenye hayo Malori ni wao wenyewe na vijana wao. Hili jambo lilipigiwa kelele siku nyingi, hawakutaka kulijibu mpaka tumedhurika hivi. Leo wanakuja na ngonjera hii...? Naona wanataka kujivua lawama kabla ya kiama cha 2015.
kwa walimkosa wassira leo wamekosa kujua sura halisi ya mzee huyu ..... kachanachana mvuatno wote wa CCM na chadema bungeni kama utaendelea basi utokane na tofauti za itikadi sio hoja.
Wassira anapenda sana madaraka na anayatumia vibaya madaraka wewe unasemaje ? Ushahidi ninao mimi alipo mtishia jamaa wa KJ Motors na kumwambia atamtambua akisha kula kiapo kama waziri na hapo ilikuwa kabla hata ya kampeni.