MAN FROM PAWAGA JF-Expert Member Joined Apr 6, 2012 Posts 248 Reaction score 23 May 4, 2015 #61 ocampo four said: Siyo kweli..... Kakanusha na kusema mwandishi kamlisha meneno Click to expand... Kiukweli Mh Wasira hawezi kufanya jambo hilo,mimi mwenyewe nakubali mwandishi kazingua akijua kuwa hiyo stori itampa ulaji kwa kutaja jina la Mh Wasira.......waandishi wetu wapunguze ukanjanja.
ocampo four said: Siyo kweli..... Kakanusha na kusema mwandishi kamlisha meneno Click to expand... Kiukweli Mh Wasira hawezi kufanya jambo hilo,mimi mwenyewe nakubali mwandishi kazingua akijua kuwa hiyo stori itampa ulaji kwa kutaja jina la Mh Wasira.......waandishi wetu wapunguze ukanjanja.
N ndeecho Member Joined Apr 9, 2015 Posts 70 Reaction score 5 May 4, 2015 #62 Mmeanza kutafunanae!! Subirini kura ya nec.
B Bweru JF-Expert Member Joined Nov 3, 2011 Posts 213 Reaction score 49 May 4, 2015 #63 chuki said: Wasira ni jasiri haogopi kusema ukweli,kama Nyeupe ni Nyeupe, hajawahi kuwa mnafiki. Ndio maana Watanzania wanamhitaji awe Rais wao. Click to expand... Siyo mnafiki? Unamjua Wasira lakini? Wakati fulani alihama ccm akaenda nccr na hatimaye akarudi ccm na kujiunga mtandao wa Jk 2015. Hana msimamo.
chuki said: Wasira ni jasiri haogopi kusema ukweli,kama Nyeupe ni Nyeupe, hajawahi kuwa mnafiki. Ndio maana Watanzania wanamhitaji awe Rais wao. Click to expand... Siyo mnafiki? Unamjua Wasira lakini? Wakati fulani alihama ccm akaenda nccr na hatimaye akarudi ccm na kujiunga mtandao wa Jk 2015. Hana msimamo.