Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,399
- 139,360
Wasira ni jasiri haogopi kusema ukweli,kama Nyeupe ni Nyeupe, hajawahi kuwa mnafiki.
Ndio maana Watanzania wanamhitaji awe Rais wao.
Chief Wanzagi:hakuna mwana CCM mwenye sifa ya uraisWasira ni jasiri haogopi kusema ukweli,kama Nyeupe ni Nyeupe, hajawahi kuwa mnafiki.
Ndio maana Watanzania wanamhitaji awe Rais wao.
Wasira ni mwanasiasa makini hajawahi kuwa na sentensi zenye utata katika mambo muhimu.Mh.Wasira ameonesha kukerwa na propaganda zinazoenezwa na Lowasa na wapambe wake juu ya ujenzi wa shule za kata.Mwananchi limeripoti kuwa Wasira amekemea kuwa sera hiyo ilikuwa sera ya CCM mwaka 2005 na ni uongo kuwa ilikuwa wazo la Lowasa kama anavyodai.My Take:Lowasa na Zito umimi wenu utaliangamiza taifa
Wasira ni mwanasiasa makini hajawahi kuwa na sentensi zenye utata katika mambo muhimu.
Isije ikawa Mwandishi kamnukuu vibaya akaandika kwa nia ya kuwachonganisha.
Inajulikana sasa ndani ya CCM mjadala mkubwa ni Wasira na Lowasa. Mmoja kati yao ndio Rais.
Bill Gate tumefurahi kukuona humu, kumbe na wewe una akaunti JF? Haya ngoja tukujuze bosi.Wasira ndo nani?ni mkuu wa mkoa au?nijuzeni jamani
Wasira ubunge atausikia redioni tu, jimbo lake Esther Bulaya analichukua
Hivi unayaamini Magazeti ya Bongo mpaka yanakutoa usingizini buree!Wasira ubunge atausikia redioni tu, jimbo lake Esther Bulaya analichukua
Kweli Wasira awe Raisi, si atasinzia akiwa anakagua Gwaride
Akiwemo Makongoro Nyerere!Chief Wanzagi:hakuna mwana CCM mwenye sifa ya urais
Wassira si muadilifu aliwahi kuhukumiwa kwa rushwa kwenye kesi ya uchaguzi.Bill Gate tumefurahi kukuona humu, kumbe na wewe una akaunti JF? Haya ngoja tukujuze bosi.
Huyo ndio Rais Mtarajiwa ambaye atadhibiti mianya ya Rushwa na Ufisadi, yeye ni Mwadilifu mwenye msimamo.
Mabepali matapeli kama wewe kaeni tako moja maana mwisho wenu ni huu.
www.stephenwasira.co.tz
Utamjua tuu.
Wasira ni jasiri haogopi kusema ukweli,kama Nyeupe ni Nyeupe, hajawahi kuwa mnafiki.
Ndio maana Watanzania wanamhitaji awe Rais wao.
Urais haupimwi kwa kuvaa suti. Rais wako ndio Handsome kuliko wote Marais wote Afrika, haya Tanzania ni ya ngapi kwa Uchumi Afrika.Huo umakini wa Wasira upo wapi, wakati ndiokiongozi anayeongoza kwa kulala nda ya Bunge. Isitoshe kama mtu huna ata umakini kwenye kuvaa nguo yako mwenyewe, Sijui mtastushawishi kwa lipi kwa huyo wasira wenu.