Wassira aisambaratisha UKAWA

Wassira aisambaratisha UKAWA

mNaz

Senior Member
Joined
Sep 27, 2011
Posts
104
Reaction score
31
Mh. Wassira amekuwa tishio hasa kwa UKAWA baada ya kuweka wazi mambo yao juu ya wafadhili wanaowafadhili hasa kutoka mataifa ya ughaibuni ili kukwamisha au kuchelewesha mchakato wa katiba mpya kwa watanzania.

UKAWA wamekuwa wa kwanza kuutupa uzalendo wa nchi yao.
 
Baada ya kuwasilisha kauli ya kishujaa na kusema hati ya muungano ipo na kuwaeleza ukawa kuwa ni mawakala wa shetani baada ya ukweli kubainika.
Mwisho wasira awataka ukawa waanze na majimbo yao kabla ya kwenda zanzibar na hasa lissu aliyekuwa haitambui znz mwaka 2011/12 .
 
Nilianza kuwadharau UKAWA baada ya kuona wakiongozwa na 'INTERAHAMWE-ORIGINAL', LIPUMBA!
HEBU JAMANI HUYU LIPUMBA ATUELEZE NI KWANINI KILA MWAKA AGOMBEE YEYE TU URAISI NA HATA MARA MOJA SIJAMSIKIA JAPO AKIONGELEA TU KUMUWEKA MGOMBEA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO, KWA TIKETI YA CUF, KUTOKA PEMBA! JE HUU SIO UBAGUZI?
JAMANI HAMNA INTERAHAMWE MWINGINE BONGO ZAIDI YA LIPUMBA!
 
Tatizo lenu kila kitu ni mada? Kipi kisicho eleweka kwani kichina hiyo ni taarifa mtambuka
Rejea kwenye ansered ya bunge mtaelewa tu
Mmezoea kutafuniwa ma vya kuokota sasa tafuteni?
 
Ivi mbona ccm mnapenda sana kutumia neno kiboko yao..?
 
Mh wasira amekuwa tishio hasa kwa ukawa baada ya kuweka wazi mambo yao juu ya wafadhili wanao wafadhili hasa kutoka mataifa ya ughaibuni ili kukwamisha au kuchelewesha mchakato wa katiba mpya kwa watanzania. Ukawa wamekuwa wakwanza kuutupa uzalendo wa nchi yao.

Nakubaliana na wanaosema watanzania IQ ni ndogo sana. No substance at all, nilidhani utatupa hoja ni vipi wameutupa uzalendo na hao walio na uzalendo ni kwa vipi. Tukiamua kuwa mbulumundu kama wewe kwa kuona wenye mawazo tofauti na wewe au Wassira sio wazalendo bila kutufafanulia maana ya uzalendo tutakuwa tumepotea. Uzalendo sio kukataa rasimu ya wananchi na Ku embrace rasimu ya Kikwete
 
hakuna kiboko yao zaid ya kifo,enzi za nyerere watu wamenyanyasika sn kisa kudai serikal 3 hatimae nyerere ameondoka na bado mzimu wa s3 unaendelea tena kwa kas na viwango.Tanzania ya leo si kama ile ya enz za mwalim ya kwamba kiongoz anaopogwa kwa cheo badala ya hoja, hapa ni suala la wakati tu utakapofika kwenye ndio watu watasema ndio na kwenye hapana pia, wasomi wanaongezeka na changamoto kwa viongoz pia zinaongezeka, Hakuna kichowezekana, ukishindwa ww mwenzako ataweza.
 
Nilianza kuwadharau UKAWA baada ya kuona wakiongozwa na 'INTERAHAMWE-ORIGINAL', LIPUMBA!
HEBU JAMANI HUYU LIPUMBA ATUELEZE NI KWANINI KILA MWAKA AGOMBEE YEYE TU URAISI NA HATA MARA MOJA SIJAMSIKIA JAPO AKIONGELEA TU KUMUWEKA MGOMBEA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO, KWA TIKETI YA CUF, KUTOKA PEMBA! JE HUU SIO UBAGUZI?
JAMANI HAMNA INTERAHAMWE MWINGINE BONGO ZAIDI YA LIPUMBA!
Vipi Kwani ulitaka amwachie mama yako?
 
Hizi singo za kuingiza magaidi,kufadhiliwa na mataifa ya nje mbona yalishashindwa kupata mashiko tangu siku nyingi!
 
Mleta hoja ulikuwa mahututi kipindi cha bunge nn?
Nahodha alileta hati feki baada ya kubanwa wakaibuka na hiyo unayoiamini ww. Hiyo ni mali ya watu wote wanapoihitaji basi iletwe sio vinginevyo.
Kwa akili yako uzalendo ni kukubali wayasemayo ccm au?
 
Mh wasira amekuwa tishio hasa kwa ukawa baada ya kuweka wazi mambo yao juu ya wafadhili wanao wafadhili hasa kutoka mataifa ya ughaibuni ili kukwamisha au kuchelewesha mchakato wa katiba mpya kwa watanzania. Ukawa wamekuwa wakwanza kuutupa uzalendo wa nchi yao.

Sio lazima uandike vitu humu...
 
Mh wasira amekuwa tishio hasa kwa ukawa baada ya kuweka wazi mambo yao juu ya wafadhili wanao wafadhili hasa kutoka mataifa ya ughaibuni ili kukwamisha au kuchelewesha mchakato wa katiba mpya kwa watanzania. Ukawa wamekuwa wakwanza kuutupa uzalendo wa nchi yao.

Hata wewe ni great thinker!!!!!!!. sasa hapo umeriport nini. hivi unaelewa maana ya kusambaratisha kitu. kama huna chakuandika kaa kimya. BTW Ukawa ni mpango wa mungu.
 
Mmmhhh
 
Attachments

  • 1398668650918.jpg
    1398668650918.jpg
    65.9 KB · Views: 156
Nilianza kuwadharau UKAWA baada ya kuona wakiongozwa na 'INTERAHAMWE-ORIGINAL', LIPUMBA!
HEBU JAMANI HUYU LIPUMBA ATUELEZE NI KWANINI KILA MWAKA AGOMBEE YEYE TU URAISI NA HATA MARA MOJA SIJAMSIKIA JAPO AKIONGELEA TU KUMUWEKA MGOMBEA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO, KWA TIKETI YA CUF, KUTOKA PEMBA! JE HUU SIO UBAGUZI?
JAMANI HAMNA INTERAHAMWE MWINGINE BONGO ZAIDI YA LIPUMBA!

Sawa mmbaguzi wa dini tumekusikia
 
Mh. Wassira amekuwa tishio hasa kwa UKAWA baada ya kuweka wazi mambo yao juu ya wafadhili wanaowafadhili hasa kutoka mataifa ya ughaibuni ili kukwamisha au kuchelewesha mchakato wa katiba mpya kwa watanzania.

UKAWA wamekuwa wa kwanza kuutupa uzalendo wa nchi yao.
Mbona mataifa ya ughaibuni ndiyo yanayoifadhili serikali. Asilimia kubwa ya bajeti wanatoa wao. Halafu si unajua rais wako kila siku yuko huko ughaibuni kuhemea vibaba. Kama ni uzalendo mtu wa kwanza kukosa uzalendo ni rais. Ameunda tume mwenyewe imetumia mabilioni halafu anaikana na kubeza maoni ya wananchi na kututishia jeshi. Kwa mawazo yake anafikiri jeshi ni toi. Kiongozi yeyote aliyeshindwa kazi na dhaifu hukimbilia kutumia polisi na jeshi
 
Back
Top Bottom