Wassira aisambaratisha UKAWA

Wassira aisambaratisha UKAWA

Hata HALIMA MDEE wakati anagombea jimbo la KAWE mpinzani wake tokea CCM alikuwa anabeza kwenye kampeni kwa kusema mashabiki wake na wanaokusanyika kwenye mikutano yake ni wahuni na wavuta bangi,Lakini mwisho wa siku jimbo ndiyo likabebwa na MDEE.Kwa mfano huo sishangai kwa sasa maoni yaliyotolewa na wananchi tena wengi yakibezwa na kuitwa majina mengi mara MAONI YA WAPINZANI,au MAONI YA UKAWA,au MAONI YA WACHACHE n.k,hamuwezi kuona wala kusikia sababu mmeshapigwa upofu ila mtakapokuja kustuka na kujua kumbe ilikuwa ni sauti ya wananchi na si ya wapinzani itakuwa IT IS TOO LATE!
 
Mh. Wassira amekuwa tishio hasa kwa UKAWA baada ya kuweka wazi mambo yao juu ya wafadhili wanaowafadhili hasa kutoka mataifa ya ughaibuni ili kukwamisha au kuchelewesha mchakato wa katiba mpya kwa watanzania.

UKAWA wamekuwa wa kwanza kuutupa uzalendo wa nchi yao.

Ndugu yangu acha hizo porojo na siasa za maji taka! CCM ni chama namba moja nchini kuomba misaada duniani katika mataifa ya ughaibuni. Kabla ya kuwepo vyama vingi tayari CCM ilikuwa inaomba misaada ughaibuni ili kuendesha chama na serikali. Leo hii karibia 40% ya bajeti ya serikali ya CCM huongozwa na misaada kutoka ughaibuni. Lakini pia CCM ina vyama rafiki vingi huko ughaibuni kuliko chama chochote hapa nchini na vinakipatia misaada na katika sherehe mbali mbali za chama huwa vyama hivyo vinaalikwa na kuleta wawakilishi wao. Sasa hizo siasa taka ndizo za kupost humu? Angalia wenye akili watakucheka sana!
 
mh. Wassira amekuwa tishio hasa kwa ukawa baada ya kuweka wazi mambo yao juu ya wafadhili wanaowafadhili hasa kutoka mataifa ya ughaibuni ili kukwamisha au kuchelewesha mchakato wa katiba mpya kwa watanzania.

Ukawa wamekuwa wa kwanza kuutupa uzalendo wa nchi yao.

watu kama ninyi ndo huwa siwaelewi kabisaa.
 
Mhh toka lini nyani kaanza kufanya kazi na watu!!!!!

Sent from my iPhone 5 using JamiiForums
 
Mh. Wassira amekuwa tishio hasa kwa UKAWA baada ya kuweka wazi mambo yao juu ya wafadhili wanaowafadhili hasa kutoka mataifa ya ughaibuni ili kukwamisha au kuchelewesha mchakato wa katiba mpya kwa watanzania.

UKAWA wamekuwa wa kwanza kuutupa uzalendo wa nchi yao.

Hot air! si bora ukawa wanatumia pesa ya wafadhili kuliko CCM wanaokwapua pesa ya mlipa kodi kutoka hazina ili kuhonga wajumbe 201 na akina Hamad Rashd Mohamed; kupitisha katiba ya CCM badala wa katiba ya wananchi?!
Mzee wa G....... atoe ushahidi ndio watu wenye akili watamuelewa na awe tayari kuikabili diplomatic fall out itakayotokana na uzushi wake! vinginevyo tutamchukulia tu kwamba ni madhila ya mvinyo pori!!!!
 
Chadema imekufa na sasa imebaki ukawa. Nasasa ukawa wabaki kusimamisha mgombea hewa.
 
Mh. Wassira amekuwa tishio hasa kwa UKAWA baada ya kuweka wazi mambo yao juu ya wafadhili wanaowafadhili hasa kutoka mataifa ya ughaibuni ili kukwamisha au kuchelewesha mchakato wa katiba mpya kwa watanzania.

UKAWA wamekuwa wa kwanza kuutupa uzalendo wa nchi yao.
uzalendo upi huoo sijakusoma hapa? nachojua UKAWA wanataka kurudisha uzalendo wetu halisi wa TANNGANYIKA huu ndio naoufaham. sasa aliyeuvunja ni nani CCM AU UKAWA??
 
Back
Top Bottom