Wassira aendelea Kulala Bungeni-Aibu

Wassira aendelea Kulala Bungeni-Aibu

atakuwa amemeza piriton.hahahaa...!!
 
Ni sasa hivi inaonyeshwa kwenye TV Wassira akiendelea kupeta kwa kulala saana bungeni


Ndo ujue ubongo wake umeishiwa chaji. Manake he is not commited to anything in our corrupt government other than to enjoy kula rushwa na raslimali za nchi
 
Ahahahahhahahahaha....anasubiri kupiga meza kupitisha hoja tu ndo kazi ya ccm iliyobaki
 
ktk kamati za ufundi kazi nyingi huwa zinafanyika usiku, kwahiyo mchana ni kulala tu.
 
Anafikiria namna ya kuwandanganya wananchi wa bunda kwani kuna maswali aliacha kamanda wenje kwa wanabunda kuwa babu akirudi wamuulize. Moja ya swali ni kwanini aliwambia wananchi waArumeru kuwa ccm itawapa maji huku bunda jimboni kwake tangu uhuru haijatokea.
 
madaktari wa serikali wamchunguze afya kabisa ikibidi kwenye mabadiliko ya baraza la mawaziri asirudi aibu kubwaaa sana
hofu yangu anaweza kutembelea gonolamboto,mbagala au baghdad,lusinde anawajibika kumwamusha msharika wake wa arumeru.
 
anawaza sana kuhusu home kwake hifadhi ya gombe jamani ndiko alikotoka
 
Hivi wasira akienda jimboni kwake akasikia na kulalamkiiwa kuna mtendaji kama dakatari au mwalimu analala wakati wa kazi atapendekeza nini?

.
Atampa adhabu ya kwenda nae bungeni kama mgeni wake ili wakalale kwa pamoja huko.
.
 
Back
Top Bottom