Wassira aendelea Kulala Bungeni-Aibu

Wassira aendelea Kulala Bungeni-Aibu

MVUMBUZI

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
5,182
Reaction score
2,330
Ni sasa hivi inaonyeshwa kwenye TV Wassira akiendelea kupeta kwa kulala saana bungeni
 
Nimemuona live hapa, TBC wamekwepesha aibu..........bodigadi wa chama analala
 
Nimemuona live hapa, TBC wamekwepesha aibu..........bodigadi wa chama analala

Hivi wasira akienda jimboni kwake akasikia na kulalamkiiwa kuna mtendaji kama dakatari au mwalimu analala wakati wa kazi atapendekeza nini?
 
Amefikiria sana kuhusu uchaguzi mdogo wa ar mjini kwa hiyo alichoka kufikiri . Wazee km yeye kikwete ametuomba tuwaache wapumzike na ndoo maana kapumzika na kausingizi.
 
Sijajua ataamka saa ngapi ngoja nifuatilie ila nina shaka na afya na hayuko connected na kinachoendelea bungeni ila akitoka tu CCM wana mtumia kama kamati ya ufundi katika kuvuka vigingi vizito.
 
Kulala always kunaendana na KUJAMBA, namwonea huruma jirani zake!
 
hivi huyu jamaa ana matatizo gani ... zito yupo na IPad naomba akiona hii thread humu jf amshtue aamke
 
Huyo ndiye THINK TANK wa CCM May be jamaa yuko kwenye kufikiri kwa kina kuhusu mjadala unaoendelea
 
madaktari wa serikali wamchunguze afya kabisa ikibidi kwenye mabadiliko ya baraza la mawaziri asirudi aibu kubwaaa sana
 
Back
Top Bottom