Nani anataka taaluma hapa Bongo? Tulisha acha Taaluma. Takwimu zenyewe huruhusiwi kuzitafuta, unatakiwa upewe! Au hukuwepo hapa Bongo ndiyo unafika sasa. Kama Katiba na sheria hazifuatwi, kuheshimu taaluma huoni kuwa itakuwa kazi ngumu zaidi? Watanzania unaowakuta Botswana, Nabimia, Afrika Kusini ni wana taaluma wale! Wakiombwa warudi hapa wakajaribu, inashindikana kutumia utaalam wao kama walikokuwa awali.