Wasomi wazidi kuikosoa Serikali

Umeelewa kwanini nimesema unafiki??
Na kama umeelewa umeelewaje??
Ukijibu hayo maswali nitarudi Mimi uwa sipendi ubishi usio na maana uwe chadema uwe ccm nakwambia ukweli tu
Andika yako tu inaonyesha una utapia mlo wa kufikiri!
 
Wasomi uchwara bhana badala ya kujibu hoja iliyopo mbele yao wao wanatukanana, zodoana na makeke mengi ambayo kimsingi sisi ambao hatuku bahatika kubukua tunashindwa kujifunza kutoka kwenu.
Hebu changieni kwa hekima basi tufaidike na sisi.
 
Hakika uchambuzi wako nimeukubali. Umetoa hoja nzito zilizokwenda shule na zilizotulia!!
Big up.
 

Duh unahitaji kupewa sana la elimu, unajitahid kuitetea serikali,
Kwanza nikuulize swali
Ni lini chadema na wafuasi wake wakafanya mkutano au maandamano maduka yakavunjwa na kufanyika uhalifu????
Ni lini uliskia maandamano ya chadema yamemuua mtu ????
Je kwa mazngira hayo ni nani ambae huvunja amani kati ya polisi na wafuasi wa chademaa???
Mnatumie vigezo gani kusema chadema itavunja amani ikiwa wafuasi wake hawana mabomu wala risasiii???
 
zero brain ndio kama wewe sasa,Nani mnafiki?? wewe au prof. aliyweka wazi msimamo wake ambao na mimi nauunga mkono.
Mkuu wewe ndiye ujanifatilia nilishaomba msamaha kuhusu hii post hapa hapakuwa mahali sahihi nilipokusudia niiweke!!
 
Huyo msomi ni mnafiki kaongea mambo yaleyale bila kuleta solution!!
Prof ametoa solution tena katumia maneno ya kawaida kwa raia yeyote kuelewa.

Prof kasema hivi, hakuna mtu yeyote, kwa sababu yoyote ile, mwenye uwezo wa kuzuia mikutano au maandamano ya amani ya kisiasa. Maana hiyo ndiyo njia ya vyama kueleza maoni yake na kujiongezea wanachama.

Au hayo yanahitaji uwe na shahada ya falsafa?
 
Bahati mbaya anafundisha Marekani na hatuna Rpc wa kanda maalum ya Marekani
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ila umesahau kuwa Tundu Lissu alitolewa Singida kuja kujieleza Dar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…