Ukweli is a relative term, unachokiita ukweli chaweza kuwa fictitious! Usipojieleza ukaeleweka ni haki yetu kukutafsiri tupendavyo, eti Unafiki bila qualification, my foot!Umeelewa kwanini nimesema unafiki??
Na kama umeelewa umeelewaje??
Ukijibu hayo maswali nitarudi Mimi uwa sipendi ubishi usio na maana uwe chadema uwe ccm nakwambia ukweli tu
"Solution" nyinyi mliomchagua Magufuli msiulie maumivu tokeni hadharani mmwambie kuwa hamkuchagua awe dikteta uchwaraHuyo msomi ni mnafiki kaongea mambo yaleyale bila kuleta solution!!
Sikia kwanza Mimi nikwambie sijawai mchagua Magufuli !!"Solution" nyinyi mliomchagua Magufuli msiulie maumivu tokeni hadharani mmwambie kuwa hamkuchagua awe dikteta uchwara
Huyo ni mwepesi kuandika lakini ni mzito kufikiri hivyo hayo mawili hayaendi pamojaTechnically akili yako haina akili, hujitambui, katika maswala kama haya yanapojadiliwa na watu wenye akili zenye akili kwa maana ya GRAY MATTER, wewe jaribu kufungua kichwa kabla ya kufungua DOMO, Bs
Mimi kuna msemo unaitwa uzalendo; huu huwa nauunganisha na elimu ya kutosha juu ya kuielewa vyema nchi yako na kuitumikia kwa uaminifu na uadilifu. Msingi mkubwa wa elimu hii ni katiba.Mimi kama msomi wa Sheria ninakushauri wewe pia na wa TZ wote kwa ujumla sambamba na kudai kuwa Rais wetu ni dicteta hauna budi kabla hujajidhatiti na kauli hiyo uisome vizuri katiba hususani isome na uielewe ibara ya 36 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977,hakika katiba hii kupitia ibara hiyo inampa Rais madaraka makubwa sana ya kufanya chochote kile na ukizingatia kuwa katiba ndio sheria mama na mamlaka yake ni ya juu(siperior authority over any other law applied in Tanzania).Hivyo tatizo si Rais kwani yeye anatumia madaraka ya kikatiba hivyo tatizo kubwa ambalo linatutesa na litaendelea kututesa mda mrefu ni mamlaka ya kikatiba.Hivyo katiba inahitajia mabadiliko ili kupunguza madaraka hayo huku uwe na kumbukumbu kuwa Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa alishangaa sana kuona katiba ilivyo mpa madaraka makubwa yeye kama Rais kiasi ambacho alisema angeweza kuwa Dicteta.
Acha unafiki nawewe kila siku unapenda kusikia unachokipenda haaaaah!!Huyo ni mwepesi kuandika lakini ni mzito kufikiri hivyo hayo mawili hayaendi pamoja
Mkuu vumilia changamoto kama msomi. Magufuli tayari ni rais uwe ulimchagua au hukumchagua; piga moyo konde kuwa ni sehemu ya waliomchagua kulingana na hali halisi.Sikia kwanza Mimi nikwambie sijawai mchagua Magufuli !!
Lakini wasomi wetu wamekuwa wanafiki hasa wakiwa uje ya mfumo lakini wakiitwa waingie ndani ya serikali wanakuwa Mbogo Uo sio unafiki??
Wasomi wangapi walikuwa nje walipoludi wakawa mafisadi??
Wangapi waliludi wakaikumbatia ccm na mfumo wake wa kifisadi??
Fatilia posti zangu unajua kwamba Mimi ni MTU huru asiyeyumbishwa na upande wowote wa siasa za Tanzania kazi yangu ni kuusema ukweli japo unauma!!!
Jamaa kasoma alafu hakuelewa soln ilosemwa na profKatoa solution,njia sahihi ya kumjibu Lissu ni kumuonyesha Rais sio Dikteta uchwra kwakutumia malumbano ya hoja.
Huyo msomi ni mnafiki kaongea mambo yaleyale bila kuleta solution!!
Kila mtu awajibike kwa nafasi yake lengo ni kwenda mbele !!
Inawezekana wewe ndio uliyeuzuria tu darasani harafu ukapewa tu cheti.kwanza mm nakataa Tanzania hakuna wasomi bali kuna watu waliospend muda wao madarasani na kutunukiwa vyeti kwani changamoto zinazotukabili toka enzi ya uhuru nchi ilipokuwa na ma doctor wazawa 5 na injinia 1 ni zile zile mpka leo interview zinafanyika uwanja wa taifa kwa jinsi degree, masters na phd zilivyo nying nchi hii lakini changamoto ni zile zile za toka enzi za uhuru
pia tunakiwa kujua maana halisi ya dictator kwa vigezo vya udictator magufuli hana ila kinachomfanaya aonekane dictator ni kutaka watanzania waishi kwa kufata mfumo wa sheria hcho tu katiba aijakubali maandamano tu ndo maana kukawa na taasisi zinazotoa vibali vya kufanya maandamano kazi hyo walipewa jeshi la police kwani wao ndo wanahusika na ulinzi wa raia na mali zao sasa kama police wameona viashilia vya uvunjifu wa amani katiba inawaruhusu kupiga marufuku maandamano ayo leo uwezi kusema maandamano yatakuwa ya amani wakati unatumia maneno ya lazima,hatukubali,aiwezekani,unaanzisha operation zenye majina ya ajabu sehemu yeyote unaposikia kuna operation hujue hapo amani hakuna aiitaji phd kujua ilo hata hospital operation ndio tiba ya mwisho kwa mgonjwa je leo chadema wameshindwa kutumia njia yeyote mpaka watanngaze operation ????
chama kinachojinasibu kuwa na hazina kubwa ya wasomi leo wameshindwa kutumia njia nyingine zaidi ya kutangaza maandamano dunia nzima hata marekani maandamano huwa yanadhibitiwa na police kwani impact ya maandamano ni kusababisha ulemavu ,usumbufu kwa watu uwezi kufungua biashara wakati maandamano yakiwapo shuguli nyingi za kiuchumi lazima zisimame pia chadema inatakiwa kujua ICC wanakwenda c watawala peke yao mpaka wapinzani wanakwenda pia mfano kwenya kenyatta na ruto walikuwa watawala kwa nn asiende kibaki???? ICC wanaangalia source ya vurugu zimesababishwa na nani
zipo njia nyingi za kufanya harakati zao coz mm naamini hawafanyi siasa bali wanafanya harakati tu kama wameshindwa bungeni sehemu pekee wanayoweza kuishinda serikali na ikakubali ni mahakamani pale ndipo wanaweza kupata haki zao zote tena hao waliokataa wasifanye siasa ndio watakuwa wanawalinda katk mikutano yao si wanawanasheria wazuri basi wakapambane mahakamani kama wanaona katiba imevunjwa coz sheria zinatungwa bungeni zinatafasiliwa mahakamani kuliko kuwaletea vijana wa maskini ulemavu kwa kupigwa mabomu na maji ya kuwasha
Ulivyo na akili kidogo hujui kuwa majaji wote wa mahakama kuu wanateuliwa na mwenyekiti wa CCMkwanza mm nakataa Tanzania hakuna wasomi bali kuna watu waliospend muda wao madarasani na kutunukiwa vyeti kwani changamoto zinazotukabili toka enzi ya uhuru nchi ilipokuwa na ma doctor wazawa 5 na injinia 1 ni zile zile mpka leo interview zinafanyika uwanja wa taifa kwa jinsi degree, masters na phd zilivyo nying nchi hii lakini changamoto ni zile zile za toka enzi za uhuru
pia tunakiwa kujua maana halisi ya dictator kwa vigezo vya udictator magufuli hana ila kinachomfanaya aonekane dictator ni kutaka watanzania waishi kwa kufata mfumo wa sheria hcho tu katiba aijakubali maandamano tu ndo maana kukawa na taasisi zinazotoa vibali vya kufanya maandamano kazi hyo walipewa jeshi la police kwani wao ndo wanahusika na ulinzi wa raia na mali zao sasa kama police wameona viashilia vya uvunjifu wa amani katiba inawaruhusu kupiga marufuku maandamano ayo leo uwezi kusema maandamano yatakuwa ya amani wakati unatumia maneno ya lazima,hatukubali,aiwezekani,unaanzisha operation zenye majina ya ajabu sehemu yeyote unaposikia kuna operation hujue hapo amani hakuna aiitaji phd kujua ilo hata hospital operation ndio tiba ya mwisho kwa mgonjwa je leo chadema wameshindwa kutumia njia yeyote mpaka watanngaze operation ????
chama kinachojinasibu kuwa na hazina kubwa ya wasomi leo wameshindwa kutumia njia nyingine zaidi ya kutangaza maandamano dunia nzima hata marekani maandamano huwa yanadhibitiwa na police kwani impact ya maandamano ni kusababisha ulemavu ,usumbufu kwa watu uwezi kufungua biashara wakati maandamano yakiwapo shuguli nyingi za kiuchumi lazima zisimame pia chadema inatakiwa kujua ICC wanakwenda c watawala peke yao mpaka wapinzani wanakwenda pia mfano kwenya kenyatta na ruto walikuwa watawala kwa nn asiende kibaki???? ICC wanaangalia source ya vurugu zimesababishwa na nani
zipo njia nyingi za kufanya harakati zao coz mm naamini hawafanyi siasa bali wanafanya harakati tu kama wameshindwa bungeni sehemu pekee wanayoweza kuishinda serikali na ikakubali ni mahakamani pale ndipo wanaweza kupata haki zao zote tena hao waliokataa wasifanye siasa ndio watakuwa wanawalinda katk mikutano yao si wanawanasheria wazuri basi wakapambane mahakamani kama wanaona katiba imevunjwa coz sheria zinatungwa bungeni zinatafasiliwa mahakamani kuliko kuwaletea vijana wa maskini ulemavu kwa kupigwa mabomu na maji ya kuwasha
Halafu huko Marekani vyama vya siasa vinafanya maandamano na mikutano ya hadhara kuikashifu serikali baada ya uchaguzi? Mbele amefilisika sana.
Soma vizuri wewe utaelewa tu alikuwa anamaanisha nini?Huyo msomi ni mnafiki kaongea mambo yaleyale bila kuleta solution!!
Soma vizuri maoni ya Prof. Mbele. Solution ni nguvu ya hoja ijibiwe kwa nguvu ya hoja.Huyo msomi ni mnafiki kaongea mambo yaleyale bila kuleta solution!!