kwanza mm nakataa Tanzania hakuna wasomi bali kuna watu waliospend muda wao madarasani na kutunukiwa vyeti kwani changamoto zinazotukabili toka enzi ya uhuru nchi ilipokuwa na ma doctor wazawa 5 na injinia 1 ni zile zile mpka leo interview zinafanyika uwanja wa taifa kwa jinsi degree, masters na phd zilivyo nying nchi hii lakini changamoto ni zile zile za toka enzi za uhuru
pia tunakiwa kujua maana halisi ya dictator kwa vigezo vya udictator magufuli hana ila kinachomfanaya aonekane dictator ni kutaka watanzania waishi kwa kufata mfumo wa sheria hcho tu katiba aijakubali maandamano tu ndo maana kukawa na taasisi zinazotoa vibali vya kufanya maandamano kazi hyo walipewa jeshi la police kwani wao ndo wanahusika na ulinzi wa raia na mali zao sasa kama police wameona viashilia vya uvunjifu wa amani katiba inawaruhusu kupiga marufuku maandamano ayo leo uwezi kusema maandamano yatakuwa ya amani wakati unatumia maneno ya lazima,hatukubali,aiwezekani,unaanzisha operation zenye majina ya ajabu sehemu yeyote unaposikia kuna operation hujue hapo amani hakuna aiitaji phd kujua ilo hata hospital operation ndio tiba ya mwisho kwa mgonjwa je leo chadema wameshindwa kutumia njia yeyote mpaka watanngaze operation ????
chama kinachojinasibu kuwa na hazina kubwa ya wasomi leo wameshindwa kutumia njia nyingine zaidi ya kutangaza maandamano dunia nzima hata marekani maandamano huwa yanadhibitiwa na police kwani impact ya maandamano ni kusababisha ulemavu ,usumbufu kwa watu uwezi kufungua biashara wakati maandamano yakiwapo shuguli nyingi za kiuchumi lazima zisimame pia chadema inatakiwa kujua ICC wanakwenda c watawala peke yao mpaka wapinzani wanakwenda pia mfano kwenya kenyatta na ruto walikuwa watawala kwa nn asiende kibaki???? ICC wanaangalia source ya vurugu zimesababishwa na nani
zipo njia nyingi za kufanya harakati zao coz mm naamini hawafanyi siasa bali wanafanya harakati tu kama wameshindwa bungeni sehemu pekee wanayoweza kuishinda serikali na ikakubali ni mahakamani pale ndipo wanaweza kupata haki zao zote tena hao waliokataa wasifanye siasa ndio watakuwa wanawalinda katk mikutano yao si wanawanasheria wazuri basi wakapambane mahakamani kama wanaona katiba imevunjwa coz sheria zinatungwa bungeni zinatafasiliwa mahakamani kuliko kuwaletea vijana wa maskini ulemavu kwa kupigwa mabomu na maji ya kuwasha