Chapa Nalo Jr
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 7,515
- 6,489
Iwe usiku iwe mchana, kura yangu ni kwa ukawa kuanzia udiwani mpaka rais. To hell ccm.
Misimamo? Yaani wewe ni mwanadamu wakufananisha na jiwe, unataka MTU aendelee na msimamo Fulani hata kama kaujua ukweli? MTU huyo atakuwa mpuuzi basi.Soma tena nilichoandika. Mimi siongei mambo ya Richmond- ndio tatizo lenu mnasoma lakini hamchambui. Mimi nimeongelea misimamo yake na kile anachoamini. Penda kwa kiasi.
Soma tena nilichoandika. Mimi siongei mambo ya Richmond- ndio tatizo lenu mnasoma lakini hamchambui. Mimi nimeongelea misimamo yake na kile anachoamini. Penda kwa kiasi.
Wasomi watanzania wamezidi kuonyesha jinsi gani si watu wenyemisimamo bali ni wachumia tumbo. Nikimuangalia Lissu (kama mfano) ambaye alikuwana misimamo imara dhidi ya dhuluma na ufisaditangu wakati ule akifanya kazi za uwakili kwa weledi mkubwa. Lissu kesi zakezote (kama si nyingi) alikuwa akiwatetea wanyonge.
Ingawa watu hawajui hili,pamoja na uzuri wake, Lissu alikuwa hashindi sana kesi, kwa maana nyingine,hakuwa na rekodi nzuri ya kushinda kesi. Alipokuwa mwanasiasa Lissu aliendeleana msimamo wake dhabiti dhidi ya ufisadi na ubadhirifu wa mali za umma. Wazunguwanasema alikuwa CONSISTENT siku zote. Mara ghafla Lowasa amekuja, sijui ninini Lissu kimemtokea.
Kama mtu ninayemjua binasfi, kati ya watu niliotegemea wangepingahili au kwa manufaa ya chama angekaa kimya au kujiondoa kwa heshima, Lissualikuwa mmoja wapo. Lakini kwa bahati mbaya, yeye hakufanya hivo.
Naheshimumaamuzi yake, lakini swali langu ni maamuzi haya ya kigeugeu, yakubadilikabalidilika yanaleta sura gani kwa wasomi wetu? Namchukulia Lissu kama mfano wawasomi wetu ambao hawana misimamo, hasa kwenye mambo ya msingi.
Kamamwanasiasas msomo hujiwakilishi wewe tu, unawakilisha familia yako, tabakalako, jimbo lako, kabila lako, profession yako n.k. Sasa huyu wakili msomi amejalitumbo lake na AHADI ZA KUWA WAZIRI WA SHERIA. Ndiyooo.. Lissu anategemea iwapoLowassa atashinda (MWENYEZI MUNGU TUEPUSHE NA HILI) basi yeye atakuwa waziri washeria. Je mtu unaweza kuwa mbinafsi kiasi kichi?
Lissu kwa ujumbe huu, nataka nikuambie umeibaka professionyako na ni aibu kwa TLS. Wewe ni mtu mbabaishaji, hueleweki, kigeugeu na zaidi yayote huaaminiki tena. Silaha kubwa ya wakili yoyote ukiacha elimu yake, nilazima awe mtu anayeaminika. Sasa kwa haya aliyofanya Lissu anaaminika tena?

"we shouldn't be the captives of history" - Obama (Wakati akiwa Cuba kurejesha mahusiano ya kibalozi).
Consistency ipo kwenye physics na biology, sio kwenye siasa!
Mbona unalialia?
JK kamuomba ataje na yeye kataja sasa kosa lake ni nini!?
Mwanzoni alimhusisha EL lakini baada ya yeye mwenyewe kuonana na kamati kuu ya cdm (na Dr. Slaa akiwepo) na kuwaeleza uhusika wake kwenye Richmond na kutoka live kwenye media akisema uhusika wake ilikuwa ni maelekezo kutoka juu, ulitaka wafanyeje!?
Wewe nakufananisha na Litanzania lingine limoja ambalo nimeona linalalamika na kuilani TANSCO eti kwa nini miaka yote huduma zao ni mbovu lakini likisisitiza kuwa #hapakazitu!
Wasomi watanzania wamezidi kuonyesha jinsi gani si watu wenyemisimamo bali ni wachumia tumbo. Nikimuangalia Lissu (kama mfano) ambaye alikuwana misimamo imara dhidi ya dhuluma na ufisaditangu wakati ule akifanya kazi za uwakili kwa weledi mkubwa. Lissu kesi zakezote (kama si nyingi) alikuwa akiwatetea wanyonge.
Ingawa watu hawajui hili,pamoja na uzuri wake, Lissu alikuwa hashindi sana kesi, kwa maana nyingine,hakuwa na rekodi nzuri ya kushinda kesi. Alipokuwa mwanasiasa Lissu aliendeleana msimamo wake dhabiti dhidi ya ufisadi na ubadhirifu wa mali za umma. Wazunguwanasema alikuwa CONSISTENT siku zote. Mara ghafla Lowasa amekuja, sijui ninini Lissu kimemtokea.
Kama mtu ninayemjua binasfi, kati ya watu niliotegemea wangepingahili au kwa manufaa ya chama angekaa kimya au kujiondoa kwa heshima, Lissualikuwa mmoja wapo. Lakini kwa bahati mbaya, yeye hakufanya hivo.
Naheshimumaamuzi yake, lakini swali langu ni maamuzi haya ya kigeugeu, yakubadilikabalidilika yanaleta sura gani kwa wasomi wetu? Namchukulia Lissu kama mfano wawasomi wetu ambao hawana misimamo, hasa kwenye mambo ya msingi.
Kamamwanasiasas msomo hujiwakilishi wewe tu, unawakilisha familia yako, tabakalako, jimbo lako, kabila lako, profession yako n.k. Sasa huyu wakili msomi amejalitumbo lake na AHADI ZA KUWA WAZIRI WA SHERIA. Ndiyooo.. Lissu anategemea iwapoLowassa atashinda (MWENYEZI MUNGU TUEPUSHE NA HILI) basi yeye atakuwa waziri washeria. Je mtu unaweza kuwa mbinafsi kiasi kichi?
Lissu kwa ujumbe huu, nataka nikuambie umeibaka professionyako na ni aibu kwa TLS. Wewe ni mtu mbabaishaji, hueleweki, kigeugeu na zaidi yayote huaaminiki tena. Silaha kubwa ya wakili yoyote ukiacha elimu yake, nilazima awe mtu anayeaminika. Sasa kwa haya aliyofanya Lissu anaaminika tena?
Kwani mleta mada, report ya Mwakyembe inasemaje kuhusu Lowassa?
----- ni wewe usijitambua pamoja na mkweo
Huna jipya kale malimao
Mugisher
Mbona hueleweki mkuu, umesema hajashinda kesi basi usimpelekee kesi yako peleka kwa wengine
Msomi kwako ni yupi? mtu mwenye msimamo kwako ni yupi? nimetafuta neno zuri lisiwe tusi nadhani kutoeleweka ni sahihi.
Unless unataka ushabiki au chuki binafsi na Tundi Lisu.
Misimamo? Yaani wewe ni mwanadamu wakufananisha na jiwe, unataka MTU aendelee na msimamo Fulani hata kama kaujua ukweli? MTU huyo atakuwa mpuuzi basi.
Mie nilikuwa namuona Magufuli ni kiongozi wa kuigwa hapo awali, lakini baada ya kupata historian take kutoka kwa watendaji wa wizara alizofanya kazi hasa Ujenzi sins hamu kabisa na huyo. Nitakuwa mjinga eti niendelee na msimamo wangu wa awali kwa mtu ambaye sio mwadilifu kazini na kwenye Mali za umma kama Magufuli. Pia mtu mwenye historia chafu katika maisha ya ndoa kiasi kuwa make halali wa ndoa anaona vigumu kusahau yaliyopita.