Wasomi watanzania: Wakili Lissu mfano wa mchumia tumbo na aibu kwa Chama Cha Mawakili

Elly B

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
1,194
1,195
Katika maisha yangu sijawah kumkubali Lissu, huwa naona kama analowesha mic tu. Fuatilia alivyokuwa anajichanganya katika masuala mbalimbali, wakati wa escrow na bungeni.

Pia anajiona anaweza huku ana weakness nyingi sana. Amefumbia macho ufisadi ndani ya chama, taratibu anashiriki kuzikiuka na kuziharibu, mtu akihoji anakaa kimya. Kama mwanasheria wa chama, hafai!

Ukishaandika vitu kama hivyo, hasa pale inapokuwa ni mtazamo ambao unao peke yako, siyo mbaya ukamaliza na "in my opinion"!

Otherwise ni vizuri ukajua kuwa kwa mtazamo wangu, ambao unaungwa mkono na wengi, Lissu ni mwnasheria makini, anayejua anachofanya. Ana uwezo mkubwa kisheria kuliko wanasheria wote wa serikali niliowahi kuwafahamu na amekuwa na mchango remarkable katika bunge na nje ya bunge.

Achana na Lissu mpendwa, hata wewe una weakness zako kibao. Nazo hazituhusu. Tujadili maendeleo yetu siyo tabia za watu binafsi!
 
Inaguresheni

JF-Expert Member
Jul 28, 2015
294
250
Muulize Makinda ishu ikibuma utasikia Lisu hebu tusaidie kidogo.!! Chenge na ujuzi na uzoefu wake wote utamsikia "Kama alivyosema Lisu" Mwanasheria mkuu wako sheria iliyopitishwa mwaka juzi hajui kama imeanza utekelezaji mbambaishaji Lisu anajua na kumkumbusha kwa kutumia answered. Du na wewe bwana sema tu umetoa Uzi kwa bahati mbaya labda haikuwa nia yako.
 
denoo49

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
6,109
2,000
Tehehehe hehe, I have told you before, huu ujauzito mlioupata safari hii lazima upitie kwenye masa. Buri
 
MTK

JF-Expert Member
Apr 19, 2012
8,445
2,000
Haya tumekusikia dr Magumashi Lweyendela, sawa Lissu hafai lakini angalau yeye tumeshaona na kusikia "Upuuzi" Wake!! je wewe tukutathmini kwa lipi fukunyungu weee?! Lissu Is a household Name in the country, je wewe dr Magumashi Lweyendela what are You?! A none entity, an inconsequential village loiterer! Bs

Katika maisha yangu sijawah kumkubali Lissu, huwa naona kama analowesha mic tu. Fuatilia alivyokuwa anajichanganya katika masuala mbalimbali, wakati wa escrow na bungeni.

Pia anajiona anaweza huku ana weakness nyingi sana. Amefumbia macho ufisadi ndani ya chama, taratibu anashiriki kuzikiuka na kuziharibu, mtu akihoji anakaa kimya. Kama mwanasheria wa chama, hafai!

The Intelligent

JF-Expert Member
Dec 27, 2013
2,464
1,500
Ukishaandika vitu kama hivyo, hasa pale inapokuwa ni mtazamo ambao unao peke yako, siyo mbaya ukamaliza na "in my opinion"!

Otherwise ni vizuri ukajua kuwa kwa mtazamo wangu, ambao unaungwa mkono na wengi, Lissu ni mwnasheria makini, anayejua anachofanya. Ana uwezo mkubwa kisheria kuliko wanasheria wote wa serikali niliowahi kuwafahamu na amekuwa na mchango remarkable katika bunge na nje ya bunge.

Achana na Lissu mpendwa, hata wewe una weakness zako kibao. Nazo hazituhusu. Tujadili maendeleo yetu siyo tabia za watu binafsi!

Kama usomi ungekuwa ndio ubora wa mtu kuwa kiongozi tungejuvunia kuwa na mwanasheria mahili kama chenge.

Tundu lissu aliposema kuwa ubunge umemfanya kuwa maskini nikagundua kuwa hana tofauti na makinda aliyewahi kutoa kauli kama hiyo wakati sio kweli.
 
Lorah

JF-Expert Member
Aug 22, 2008
1,193
0
Mbona ccm mnalia lia kwani mnashilingi ngapi ya kumnunua lissu mandorobo nyie
 
MchunguZI

JF-Expert Member
Jun 14, 2008
3,738
2,000
Wasomi watanzania wamezidi kuonyesha jinsi gani si watu wenyemisimamo bali ni wachumia tumbo. Nikimuangalia Lissu (kama mfano) ambaye alikuwana misimamo imara dhidi ya dhuluma na ufisaditangu wakati ule akifanya kazi za uwakili kwa weledi mkubwa. Lissu kesi zakezote (kama si nyingi) alikuwa akiwatetea wanyonge.

..........................................

Unawezaje kutumia neno wasomi halafu hatuoni hao ni akina nani? Ni wewe ndo msomi? Jitaje wewe mwenyewe! Tueleze ni msomi wa kitu gani.
 
ZamoyoniParadiso

Senior Member
Aug 14, 2015
102
0
Katika maisha yangu sijawah kumkubali Lissu, huwa naona kama analowesha mic tu. Fuatilia alivyokuwa anajichanganya katika masuala mbalimbali, wakati wa escrow na bungeni.

Pia anajiona anaweza huku ana weakness nyingi sana. Amefumbia macho ufisadi ndani ya chama, taratibu anashiriki kuzikiuka na kuziharibu, mtu akihoji anakaa kimya. Kama mwanasheria wa chama, hafai!Ukitaka usiumize kichwa.

LISSU NI WAKILI.
Elimu yake ya uwakili inamfanya kuweza kutetea upande wowote wa eitha MSHITAKIWA au MSHITAKI. Ndo kazi yake iyo.
 
Ntaluke.N.

JF-Expert Member
Jun 21, 2015
1,341
1,500
Ukitaka kujua ubora wa Tanzania one(TO) wa mtihani wa Taifa iwe shule za msingi au sekondari(upili) omba mtihani naye..Hivyo hvyo kwa LISU tafta au omba ukutane nae kwenye kesi yoyote najua utaomba pooh mwenyewe.
 
Elly B

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
1,194
1,195
Kama usomi ungekuwa ndio ubora wa mtu kuwa kiongozi tungejuvunia kuwa na mwanasheria mahili kama chenge.

Tundu lissu aliposema kuwa ubunge umemfanya kuwa maskini nikagundua kuwa hana tofauti na makinda aliyewahi kutoa kauli kama hiyo wakati sio kweli.

Tafsiri ya huo "umaskini" haikumaanisha kutokuwa na kitu. Ila alitaka tu kusema kwa yeye kuwa advocate, pesa ambazo angetengeneza huko ni nyingi ukilinganisha na kuwa mmbunge. Hivyo alimaanisha kuwa kwa yeye kuamua kuwa mmbunge ni kuamua kuwatumika watu bila kujali faida hasa, kwani angetaka faida angeendelea na kupractise sheria!........NO LIES THERE! just translations!
 
Emmamkolomi

JF-Expert Member
Sep 21, 2013
628
225
Wasomi watanzania wamezidi kuonyesha jinsi gani si watu wenyemisimamo bali ni wachumia tumbo. Nikimuangalia Lissu (kama mfano) ambaye alikuwana misimamo imara dhidi ya dhuluma na ufisaditangu wakati ule akifanya kazi za uwakili kwa weledi mkubwa. Lissu kesi zakezote (kama si nyingi) alikuwa akiwatetea wanyonge.

Ingawa watu hawajui hili,pamoja na uzuri wake, Lissu alikuwa hashindi sana kesi, kwa maana nyingine,hakuwa na rekodi nzuri ya kushinda kesi. Alipokuwa mwanasiasa Lissu aliendeleana msimamo wake dhabiti dhidi ya ufisadi na ubadhirifu wa mali za umma. Wazunguwanasema alikuwa CONSISTENT siku zote. Mara ghafla Lowasa amekuja, sijui ninini Lissu kimemtokea.

Kama mtu ninayemjua binasfi, kati ya watu niliotegemea wangepingahili au kwa manufaa ya chama angekaa kimya au kujiondoa kwa heshima, Lissualikuwa mmoja wapo. Lakini kwa bahati mbaya, yeye hakufanya hivo.

Naheshimumaamuzi yake, lakini swali langu ni maamuzi haya ya kigeugeu, yakubadilikabalidilika yanaleta sura gani kwa wasomi wetu? Namchukulia Lissu kama mfano wawasomi wetu ambao hawana misimamo, hasa kwenye mambo ya msingi.

Kamamwanasiasas msomo hujiwakilishi wewe tu, unawakilisha familia yako, tabakalako, jimbo lako, kabila lako, profession yako n.k. Sasa huyu wakili msomi amejalitumbo lake na AHADI ZA KUWA WAZIRI WA SHERIA. Ndiyooo.. Lissu anategemea iwapoLowassa atashinda (MWENYEZI MUNGU TUEPUSHE NA HILI) basi yeye atakuwa waziri washeria. Je mtu unaweza kuwa mbinafsi kiasi kichi?Lissu kwa ujumbe huu, nataka nikuambie umeibaka professionyako na ni aibu kwa TLS. Wewe ni mtu mbabaishaji, hueleweki, kigeugeu na zaidi yayote huaaminiki tena. Silaha kubwa ya wakili yoyote ukiacha elimu yake, nilazima awe mtu anayeaminika. Sasa kwa haya aliyofanya Lissu anaaminika tena?

Japo unajitambulisha kama msomi lakini kwa kuangalia post yako haioneshi kuandikwa na msomi, umechanganya changanya mambo wala hayaeleweki, you are not focused to be frank, umechanganya changanya sana mambo hadi haijulikani ulikuwa unataka kutueleza nini. Hueleweki unataka kutuelimisha juu ya nini zaidi ya kutupotezea wakati.
 
Sudysoko

JF-Expert Member
Aug 19, 2015
449
250
Wasomi watanzania wamezidi kuonyesha jinsi gani si watu wenyemisimamo bali ni wachumia tumbo. Nikimuangalia Lissu (kama mfano) ambaye alikuwana misimamo imara dhidi ya dhuluma na ufisaditangu wakati ule akifanya kazi za uwakili kwa weledi mkubwa. Lissu kesi zakezote (kama si nyingi) alikuwa akiwatetea wanyonge.

Ingawa watu hawajui hili,pamoja na uzuri wake, Lissu alikuwa hashindi sana kesi, kwa maana nyingine,hakuwa na rekodi nzuri ya kushinda kesi. Alipokuwa mwanasiasa Lissu aliendeleana msimamo wake dhabiti dhidi ya ufisadi na ubadhirifu wa mali za umma. Wazunguwanasema alikuwa CONSISTENT siku zote. Mara ghafla Lowasa amekuja, sijui ninini Lissu kimemtokea.

Kama mtu ninayemjua binasfi, kati ya watu niliotegemea wangepingahili au kwa manufaa ya chama angekaa kimya au kujiondoa kwa heshima, Lissualikuwa mmoja wapo. Lakini kwa bahati mbaya, yeye hakufanya hivo.

Naheshimumaamuzi yake, lakini swali langu ni maamuzi haya ya kigeugeu, yakubadilikabalidilika yanaleta sura gani kwa wasomi wetu? Namchukulia Lissu kama mfano wawasomi wetu ambao hawana misimamo, hasa kwenye mambo ya msingi.

Kamamwanasiasas msomo hujiwakilishi wewe tu, unawakilisha familia yako, tabakalako, jimbo lako, kabila lako, profession yako n.k. Sasa huyu wakili msomi amejalitumbo lake na AHADI ZA KUWA WAZIRI WA SHERIA. Ndiyooo.. Lissu anategemea iwapoLowassa atashinda (MWENYEZI MUNGU TUEPUSHE NA HILI) basi yeye atakuwa waziri washeria. Je mtu unaweza kuwa mbinafsi kiasi kichi?Lissu kwa ujumbe huu, nataka nikuambie umeibaka professionyako na ni aibu kwa TLS. Wewe ni mtu mbabaishaji, hueleweki, kigeugeu na zaidi yayote huaaminiki tena. Silaha kubwa ya wakili yoyote ukiacha elimu yake, nilazima awe mtu anayeaminika. Sasa kwa haya aliyofanya Lissu anaaminika tena?

Lissu mjinga tuu
 
Dogo1

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
1,312
2,000
Soma tena nilichoandika. Mimi siongei mambo ya Richmond- ndio tatizo lenu mnasoma lakini hamchambui. Mimi nimeongelea misimamo yake na kile anachoamini. Penda kwa kiasi.

Mkuu hawa jamaa tatizo lao kubwa wakiona kichwa cha habari kinachokinzana yale yanayohusu chama/kiongozi wao hawapendi hata kusoma content then kujibu hoja husika, badala yake wao hukurupuka na kujibu ovyo ovyo hoja ambayo hata hawajui maudhui yake!!! Hii ni kansa waliyonayo hawa jamaa hasa hapa JF - wachukulie kama walivyo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom