Wasomi wana maisha magumu wanapoingia kwenye siasa na kupewa nyadhifa

DaveSave

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
440
637
Wasomi wabobezi wengine waliohitimu kwenye vyuo vilivyotukuka duniani wana maisha magumu wanapoingia kwenye siasa na kupewa nyadhifa. Siasa zetu zinawalazimisha ama kukana au kujisahaulisha weledi waliopata shuleni, kujifanya hawajui ilhali upeo wao ni mkubwa na wanajua dunia inaenda wapi.

Sio ajabu hotuba zao zimejaa vigugumizi utafikiri wanajifunza kuongea. Nimegundua mwanasiasa anayeishi maisha halisi na yenye raha ni kada tu aliyeinukia.
 
Back
Top Bottom