Wasomi wamuunga mkono Prof Shivji

Wasomi wamuunga mkono Prof Shivji

Mdokezi2

Member
Joined
Apr 4, 2014
Posts
70
Reaction score
5
Mkoa wa Vyuo vya Elimu ya Juu umeeleza rasmi msimamo wake wa kuunga mkono muundo wa serikali mbili ambao unataja kuonekana kuwa ndio mkombozi wa wananchi wa Tanzania.
Zaidi fuatilia hapa
m.habarileo.co.tz/index.php/habari-za-kitaifa/23844-wasomi-wasisitiza-utaifa-unawezekana-serikali-2
 
.....mkoa wa ccm, sisi hatumuungi mkono kamweeeee....tunahitaji tanganyika yetu now and now,chukueni kakisiwa kenu... period....!
 
nchi ya Tanzania si ya wasomi wa ccm tu. hata sisi ambao tulinyimwa elimu chini ya uongozi wa ccm tuna haki ya kusikilizwa kuhusu huu Muungano:A S 465:
 
.....mkoa wa ccm, sisi hatumuungi mkono kamweeeee....tunahitaji tanganyika yetu now and now,chukueni kakisiwa kenu... period....!

Humuungi mkono kwa sababu ni wa ccm au ni kwa sababu ya hoja yake???
 
Mkoa wa Vyuo vya Elimu ya Juu umeeleza rasmi msimamo wake wa kuunga mkono muundo wa serikali mbili ambao unataja kuonekana kuwa ndio mkombozi wa wananchi wa Tanzania...
Tanzania haina mkoa huo
 
Mkoa wa Vyuo vya Elimu ya Juu umeeleza rasmi msimamo wake wa kuunga mkono muundo wa serikali mbili ambao unataja kuonekana kuwa ndio mkombozi wa wananchi wa Tanzania.
Zaidi fuatilia hapa
m.habarileo.co.tz/index.php/habari-za-kitaifa/23844-wasomi-wasisitiza-utaifa-unawezekana-serikali-2

Usiwe na haraka Tulia post kitu kinachoeleweka. Mimi hapo nimeona tu serikali Mbili na neno wasomi
 
Usiwe na haraka ya kusoma tulia soma uelewe. Nmeweka link hapo unaeza ifuatilia mkuu.
 
wasomea tumbo hao! gazeti lenyewe (habari leo) ni la ccm---unategemea wataandika nn zaidi ya kufagilia sera mfu za ccm?
 
Mkoa wa Vyuo vya Elimu ya Juu umeeleza rasmi msimamo wake wa kuunga mkono muundo wa serikali mbili ambao unataja kuonekana kuwa ndio mkombozi wa wananchi wa Tanzania.
Zaidi fuatilia hapa
m.habarileo.co.tz/index.php/habari-za-kitaifa/23844-wasomi-wasisitiza-utaifa-unawezekana-serikali-2

Huu Mkoa uko wapi? mipaka yake inaanzia wapi na inaishia wapi? Ina wakazi wangapi? makao yake ya serikali yako wapi?
 
wasomea tumbo hao! gazeti lenyewe (habari leo) ni la ccm---unategemea wataandika nn zaidi ya kufagilia sera mfu za ccm?

Usipinge chama pinga wanaofanya maovu maana hata chama hakimtumi mtu kufanya uovu hata cku moja!!!
 
Nachukizwa sana na hizi personal emotions kuelezea makundi makubwa ya watu, eti wasomi...ptuuuuh!
 
MKOA sio lzm uwe katavi au mwanza au shinyanga....neno linaweza kutumika kumaanisha vinginevyo pia km ilivyotumika hapo.

Basi utuwekee wazi kuwa ni mkoa wa wasomi wa ccm tusingepata taabu ya kuingia humu, ukoo wa panya,baba,mtoto,babu kuna tofauti?
 
Hao ni wapuuzi.

Serikali mbili aje Tanganyika na Zanzibar?

Waache ujinga,wafanye yote Tanganyika lazima iwepo...vinginevyo tutairudisha wenyewe.

Acha uchochezi. Wewe Tanganyika unaijua?
 
Back
Top Bottom