Ooh I can seeAlfairugu mkuu!"He was very very beautiful in their class!"
kwa hiyo wenye masters,PHD ni wajinga?
Nirikuwa natakaa kuwerekezwa namuna ya kupata era
Ile sentensi ya kwanza niliikariri tu kutoka sehemu wakubwa walikuwa wanaongea."Please full-stop" there kabla sija-cuuldn't tee nikasikia nishai mkuu!!Ooh I can see
Nani kakwambia Ivo. Kibali Cha Kusema Ivo unakitoa wapi?Wewe ni Mganga Wa Kienyeji?Jeh Wewe ni Nabii? Adi uweze kujua Kesho za watuSawa,ila wanapoteza muda kuongeza elim kwa minajir ya kufanikiwa maisha,..sio enz hiz
Sasa we layman unawezaje kujilinganisha na hao learned men or brothers of the land ?.
Watu wenye viprofession inferior kama nyinyi ndiyo huwa mnapenda sana kutoa hizi lay accusations.
Personally nawakubali sana hao jamaa profession yao ni demanding sana kujiupgrade daily na iko regulated sana tofauti na viprofession uchwara.
Ukikutana nao kadegree kako unakaficha matakoni.
Lawyers msikatishwe tamaa na hawa laymen
Umesoma lakini hujui kituMkuu mi nmesoma coet udsm miaka minne,nna gamba na gpa nzur tuu,lakin sihitaj kuongeza tena elim et ndio niwe na maisha mazur,kwa Tz hii,
Nani kakwambia Ivo. Kibali Cha Kusema Ivo unakitoa wapi?Wewe ni Mganga Wa Kienyeji?Jeh Wewe ni Nabii? Adi uweze kujua Kesho za watu
Be Gratefull Kijana.
Kuna Kitu Kikubwa Unakikosa Katika Uelewa Wako wa Maisha.
Any way uwezo wako wa Kufikiria na Expirience zako za Maisha zimeishia hapo.
Pole
Umesoma lakini hujui kitu
Sawa,ila ukwel ndo huo,..bachela ina tosha sana kwa maisha ya Tz,kuongeza elim zaid ya bachela et ili uajiriwe ua uongezwe mshahara katka enz hii ni kupoteza mda...wanaohitim vyuo vikuu kila mwaka na idad wanaoingia kwenye ajira rasmi unaijua..ukifaham hili bas utafunga huo mdomo wako
Acha watu wasome bhana. Namsomesha mdogo wangu masters(japo alikua hataki, anataka mtaji)Hahaha,hujaelewa mada.na mi siendesh paso mkuu,gar yangu ni expensive kwa kijana wa kawaida,fatilia nyuz zangu utajua naendesha gar gan...
Mada yangu ina maana hii...bachea inatosha sana kwa maisha ya bongo,mi mwwnyew nna bachela,unakuta mtu hana kaz,hajajiajir,anaamin kwamba akienda ongeza masters or wateva ndo atapata ajira au maisha kua bora,kumbe zama zmebadilika,..kila mtu ana magamba hayo skuhiz...changamsha akil ndio utafanikiwa
Kwani Kila anae soma Lazima aajiriwe?Wengine wanasoma Ili Kutimiza Ndoto zaoSwal dogo tuu,unajua wanaohitim kila mwaka kwa daraja la degree Tz na wanaoingia kwenye ajira?..sasa tayar unajua una bachela na kaz huna,kujiajir hutak na bado unaenda kuongeza elim ya juu zaid.we una akil kwel