Weng hamjaelewa ujumbe wangu,na inaonyesha hata darasan ilikua ngum sana kufaulu
graduates anamaliza first degree na 23 yrs. au 22 huyo ndie alieunganisha shule..
umri huo kweli ni mdogo kupewa mtaji??
ndio maana wahindi, wachaga, wazungu anatuajiri milele..
kina bill gate, zuckerberg, uber tax, waliacha chuo kabisa na age 19 tu.. kwenda kufanya business.. we miaka 23 unasema mdogo kufanya business
Acha watu wasome bhana. Namsomesha mdogo wangu masters(japo alikua hataki, anataka mtaji)
Sio kwamba mi ni dictator bali umri wake unaruhusu bado kusoma.
Akimaliza masters naamini akili itakua imepevuka vizuri so hata nikimpa mtaji nitakuwa na amani na pia utamsaidia.
So sio kila mtu anayesoma inakuwa ni option yake bali pengine ni shinikizo na sio kila anayesoma hana bright future tayari.
And by the way dogo anaendesha Vanguard na bado anasoma so acha dharau na kiyoyozi chako.
Ndo nyie baadae mnaanza oh mara kazi hamna,mkipata mishahara midogo,angalia baadae unataka kuendesha boda una miaka 40 ukiwa na masters kichwani. See the clock with the third eye mkuuShule Imekushinda waache wenzio wasome.Duniani Kuna Division of Labour wote awawez kufikiria kama ww.
Usikimbie mada mkuu maana inaonekana you are uninformed kuhusu legal profession.Umesoma uzi mkuu?nlisema hao wa law ni mfano tuu ..
Mkuu mi nadhan hujaelewa uzi...ishu ni kwamba,mtu umesoma tayar,una bachela,huna ajira,na kujiajir huwez,unaenda ongeza elim ili iweje,hii sio Tz ilee,vijana inabid waamkeTukijiajiri wote nani ataajiriwa? Tukiajiriwa wote nani atajitahidi? Ngoja wanaotaka masters degree au zaidi wasome, wengine wataishia elimu za ufundi-veta na wengine hata std 7.
Mwisho tutapata collection ya kila tunachohitaji.
Kama anaendesha vanguard yake sawa,ila kama sio yake,tabu iko palepaleAcha watu wasome bhana. Namsomesha mdogo wangu masters(japo alikua hataki, anataka mtaji)
Sio kwamba mi ni dictator bali umri wake unaruhusu bado kusoma.
Akimaliza masters naamini akili itakua imepevuka vizuri so hata nikimpa mtaji nitakuwa na amani na pia utamsaidia.
So sio kila mtu anayesoma inakuwa ni option yake bali pengine ni shinikizo na sio kila anayesoma hana bright future tayari.
And by the way dogo anaendesha Vanguard na bado anasoma so acha dharau na kiyoyozi chako.
Punguza povu au dawa imekuingia?.Nani kakwambia Ivo. Kibali Cha Kusema Ivo unakitoa wapi?Wewe ni Mganga Wa Kienyeji?Jeh Wewe ni Nabii? Adi uweze kujua Kesho za watu
Be Gratefull Kijana.
Kuna Kitu Kikubwa Unakikosa Katika Uelewa Wako wa Maisha.
Any way uwezo wako wa Kufikiria na Expirience zako za Maisha zimeishia hapo.
Pole
Haha. Maalifa yanatunzwa kichwani siyo kwenye vyeti.Napoleon naomba Umuite Rubby Garnet iz ndo mada zake
Kwa hiyo kila mtu aishie na bachelor, kuwa lecturer au researcher inabidi uwe na PhD angalau Masters. Kila mtu ana malengo yake ya kielimu na huwezi kubeza mchango wa wasomi wenye viwango vya juu kabisa vya elimu na uelewa kwenye kuibuliwa kwa teknolojia mbalimbali ambazo zimekuwa msaada kwa jamii ya binadamu. Mfano, kuna PhD nyingi za watu kwenye gunduzi mbalimbali upande wa tiba (madawa, chanjo na uboreshaji wa tiba), teknolojia kama simu za mkononi, vyombo vya usafiri nk.Well,nmepita hapo naona vijana wanatoka kufanya mtihan nadhan,wanaenda kudandia daladala...wamependeza na suti zao kwelkwel,
Anyways,elim ni ufunguo wa maisha ila inabid tusome nyakat ndugu zanguni
Hawa vijana ambao wamesoma 4yrs sheria na zaid wanaenda ongeza mwaka m1 zaidi ili kuendelea kupalilia elim ili maisha yawe mazur zaid,hawa ni mfano tuu wa kund kubwa ambalo linaamin kwa kuendelea ongeza elim ndo kutawatoa zaid,..si discourage hili ila nasisitiza kua
Someni nyakat
Mim binafs nna bachela In somethn na naona elim hyo inanitosha,kuendelea na mashule nmeona napoteza mda tu sabab hyo bachela sio kwamba imenitoa kihivyo,vimishahara vyenyenye nkifananisha na nondo nilizokula havifanan,..wazee wa Coet mtanielewa
Ni bora muda huo na hko kidogo unachopata ujifunze elim ya mtaan jinsi ya kukuongeza zaid,
Kiukwel elim za chuo kikuu ni kubwa sana ,huhitaj kuongeza unlesa unataka kua mwalim
Period.
Asilalamike Hakuna ajiraNdo nyie baadae mnaanza oh mara kazi hamna,mkipata mishahara midogo,angalia baadae unataka kuendesha boda una miaka 40 ukiwa na masters kichwani. See the clock with the third eye mkuu
Hata kama kapewa na kadi ya gari imeandikwa kwa jina lake kuna shida gani?Kama anaendesha vanguard yake sawa,ila kama sio yake,tabu iko palepale
Mimi nadhsn wewe ndo Huelewi, law school sio kwamba ni degree nyingine yani ni sawa na injinia anapomaliza miaka4 anaandika ripoti ili asajiliwe.... Sasa wao hawaandiki ripoti, wanapiga pepa pale law school!!Sawa,ila wanapoteza muda,elim ya bachela ni tosha kufanya mambo africa hii..nawaonea huruma,sabab hakuna ajira
WEWE NDUGU NYAMAZA HUJUI KITU.. YOU ARE IGNORANT ...Mkuu mi nadhan hujaelewa uzi...ishu ni kwamba,mtu umesoma tayar,una bachela,huna ajira,na kujiajir huwez,unaenda ongeza elim ili iweje,hii sio Tz ilee,vijana inabid waamke
Tofauti na zamani, siku hizi kuna ushindani mkubwa sana katika ajira. Siku hizi kuna wasomi lukuki. Karibia kila nyumba kuna degree holder.
Hata siku moja usidanganyike ukaacha kusoma eti kisa ajira au mahahara kiduchu.
Tunaposema "Elimu ufungua wa maisha" hatumaanishi ukiwa na degree utamiliki gari yako, utajenga nyumba nzuri na utakuwa na familia bora.
Elimu inafungua mambo mengi sana tofauti na milango ya uchumi. Unapokuwa mjuzi wa jambo fulani mathalani "sheria" unaweza kutumia ujuzi huo kutetea watu wanaoonewa kwenye jamii yako. Hapo utakuwa unafungua maisha ya jamii yako.
Ajira ni changamoto ya kiulimwengu.
Kikupwa kupambana usiku mchana ili mradi ule.
#MKAMATE SANA ELIMU
#SOMA KITU UNACHOPENDA
ASANTE