wanambwembwe na dharau haoooo, hasa wakuone wewe ni mwenzao mlisoma wote Law harafu unafanya kazi ingine tofauti na sheria kwa sababu ulikosa pesa ya kujiunga law school, yaani wanaona umepotea kabisa
Bro nakuunga mkono. Usiposhtuka mapema ukakalia Kula kitabu tu na kutafuta kazi, utazeeka maskini ukiwa Frustrated.
Mimi nilimaliza chuo mojawapo hapa Dar na Degree ya mambo ya Ujenzi, nikaajiriwa. Niliishia kutumikia wengine maisha yao yakisonga huku mimi nikishindwa kujinunulia hata vitu vidogo kwa ufinyu wa mshahara. Niliamua kuacha na kujitosa mtaani. Mambo sio mazuri sana bado coz ndo nimeanza lakini kuna matumaini. Najitumikia mwenyewe.
Wenzangu wasomi tuamke, zama za kupata cheti ukatumikie taifa zimepitwa na wakati. Kama unataka mafanikio. JIAJIRI
"The aim of education is not to prepare someone to live, but itself is life"-prof.john Dewey.So mkuu ndio maisha hayo sijui ulitakaje? ukivaa suti usipande daladal?Well,nmepita hapo naona vijana wanatoka kufanya mtihan nadhan,wanaenda kudandia daladala...wamependeza na suti zao kwelkwel,
Anyways,elim ni ufunguo wa maisha ila inabid tusome nyakat ndugu zanguni
Hawa vijana ambao wamesoma 4yrs sheria na zaid wanaenda ongeza mwaka m1 zaidi ili kuendelea kupalilia elim ili maisha yawe mazur zaid,hawa ni mfano tuu wa kund kubwa ambalo linaamin kwa kuendelea ongeza elim ndo kutawatoa zaid,..si discourage hili ila nasisitiza kua
Someni nyakat
Mim binafs nna bachela In somethn na naona elim hyo inanitosha,kuendelea na mashule nmeona napoteza mda tu sabab hyo bachela sio kwamba imenitoa kihivyo,vimishahara vyenyenye nkifananisha na nondo nilizokula havifanan,..wazee wa Coet mtanielewa
Ni bora muda huo na hko kidogo unachopata ujifunze elim ya mtaan jinsi ya kukuongeza zaid,
Kiukwel elim za chuo kikuu ni kubwa sana ,huhitaj kuongeza unlesa unataka kua mwalim
Period.
Acha wivu wa kike-by Ben mkapaDharau akat bado wanaomba hela kwa wazaz ya kwenda shule,
kuna watu waliacha shule ili wajiajiri leo hii wanatamani kurudi shule na kuna waliosoma sana ila wanamaisha ya kawaida nao wanalaani kusoma wanasema bora ningejiajiri mapema, haya maisha hayana formula.
kwa hiyo wenye masters,PHD ni wajinga?Sawa,ila wanapoteza muda,elim ya bachela ni tosha kufanya mambo africa hii..nawaonea huruma,sabab hakuna ajira
Inatia simanzi sana kuona kijana anawakatisha tamaa vijana wenzake kisa yupo kwenye passo ya mkopo ili hali na yeye kapitia huko huko.
Rais Magufuli angesikiliza watu kama nyie leo hii angekuwa Chato anafuga na kukamua maziwa ya Ng'ombe.
Vijana wanakumbana na changamoto kubwa sana ya vijiushauri uchwara kutoa kwa watu kama nyie,na mpo wengi sana.
Nawasihi vijana wanaopitia huu uzi na wapo masomoni,wasome kwa bidii,kukimbilia gari na suti ni vizuri zaidi kuliko kukimbilia gari na box la biscuits na maji!
Watu kama nyie mkisikilizwa tutatengeneza taifa la wajinga wajinga hivi,mapopoma!
Rais Kikwete aliwahi kusema,za kuambiwa changanya na zako.

Kweli wewe "lasaba" sio kwa mwandiko huo!!
Mbona wewe umeajiriwa?Bro nakuunga mkono. Usiposhtuka mapema ukakalia Kula kitabu tu na kutafuta kazi, utazeeka maskini ukiwa Frustrated.