Wasomi wa kizazi kipya

Hoja hujibiwa kwa hoja mzee! Ukiwa mvivu wa kufikiri ovius utakuwa vile vile ni mvivu wa kutoa hoja zenye kumjenga mtu au taifa! Nilitegemea utoe hoja zn niikubali au niikatae bt cjaona logic ya ww kucomment vitu visivyo na mcngi! Lengo letu ni kujengana na sio kutukanana au kupeana kejeli hakuna aliye kamili dats y tupo hapa kujengana! Jenga hoja ujibiwe kwa hoja!
 
SIASA ZISIZOKUWA NA MANUFAA KWA MWANANCHI- Tunashuhudia kila cku wananchi wakipandikizwa chuki dhidi ya serikali yao wenyewe walioiweka madarakani kwa kura zao wenyewe HAKIKA HIZI SI SIASA ZENYE MANUFAA KWA MWANANCHI HOHE HAHE!

Una maana wapiga kura ni ma mbumbumbu hawana akilio kabisa, ummwambie hili baya na yeye anaona zuri aamini kuwa ni baya? Usitufanye watanzania wajinga sana tudanganywe na mtu. kama watu wana chuki, ndivyo wanavyoona hivyo! Mtu mzima mwenye maamuzi yake kama anaona kilichopo kinafaa hapandikizwi chuki hata umwambieje!
we leo uniambie serikali nzuri, january 2007 nimenunua sundrop 10lt kwa 12,000, jana nimenunua sundrop 5 lt kwa 20000, ina maana 10 lt ni 38,000 -40000. katika miaka 4 hii imepanda zaidi ya mara tatu, kodi ya nyumba imepanda kwa zaidi ya 100%, mshahara wangu umepanda kwa 40%. umeme wa shida, ada za vyuo zimepanda, mikopo inatolewa kwa mizengwe, nikitaka kununua kiwanja nanyimwa hata couponi ya kujazia form, hata ningepata, nimetangaziwa ndani ya wiki mbili na malipo baada ya siku 14. mwaka jana october nimenunua mafuta ya taa Tsh 500, leo ni 800.
nimekupa data za miaka minne ya ongezeko la bei la baadhi ya vitu na mshahara wangu, unapoonda ridhiwani anaporomosha maghorofa, na chenge anasema hela alizonazo ni vijisenti, wakati mimi ningejengea nyumba ukoo wangu wote, nikichukia unasema nimepandikizwa chuki? au sie ni mataahira! we mwenzetu ni wa wapi!
unaposema watanzania wanapandikizwa chuki una maana gani?
 
Omary Mwenda
Re: Wasomi wa kizazi kipya
SIASA ZISIZOKUWA NA MANUFAA KWA MWANANCHI- Tunashuhudia kila cku wananchi wakipandikizwa chuki dhidi ya serikali yao wenyewe walioiweka madarakani kwa kura zao wenyewe HAKIKA HIZI SI SIASA ZENYE MANUFAA KWA MWANANCHI HOHE HAHE!

Omary umeniharibia siku yangu: kwa kifupi 'wasomi' wa kizazi kinachozeeka waligeuza nchi kuwa shamba la bibi - wamejenga utamaduni wa kifisadi ambao hapana shaka una habari unless you're on ufisadi side. 'Wasomi' wa kizazi kipya wanachojaribu kufanya ni kuwaelimisha wananchi kufahamu haki zao na haki ya kuzipigania. haki zao ni pamoja na kunufaika na rasilimali za taifa (km watoto wao wapate elimu bora). Kwa wale walio upande wa ufisadi wanaona elimu hii inayotolewa na 'wasomi' ni "kupandikiza chuki dhidi ya serikali yao". Kama serikali haitaki wananchi waapndikizwe chuki, basi itimize wajibu wa serikali yo yote ile duniani. Shame on you Omary na umenitibulia siku yangu ya leo:shocked:

View attachment 31349
 
Back
Top Bottom