Wasomi wa Jukwaa hili hamjambo?

Wasomi wa Jukwaa hili hamjambo?

Cornestone

Member
Joined
Jun 26, 2025
Posts
20
Reaction score
5
Inasemekana kwamba jukwaa hili ndo lina wasomi na wajuvi wa kujenga hoja.Are you practicing what you preach or you are just keyboard warriors?
 
Wasomi wetu ni hopeless tu kama wanasiasa, hawana tofauti. Makundi haya mawili wameungana pamoja kuunda kundi la "Bourgeois" wasiojali walio chini yao kwa lengo la kulinda maslahi yao binafsi waliyojipatia kwa njia zisizo halali. Sisi makapuku need to fight back.
 
Back
Top Bottom