Wasomi ndio wanatuangusha!

DJ SEPETU

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2017
Posts
8,413
Reaction score
12,338
Katika mapitio mengi ya kuisogeza nchi yetu kanaani na kujikomboa toka minyororo ya umaskini,ujinga na maradhi hawa wanaojiita wameenda shule ndio wanatuangusha

Wao kila kitu cha serikali ni kibaya kina kasoro na blabla kibao!

Hawa ndo waandamanaji hewa! Nyuma ya keyboards!
Hawa hawaaminiki jamani wanyonge wenzangu!
Tushikamane na rais wetu

Wengi wao ni hewa tu basi mawazo yao ni ulaghai
Tusikubali kutumiwa kwa maslahi binafsi wanatutumia ka ngazi
 
Duh kwahiyo huko serikalini hakuna wasomi mkuu mbona wapo wengi tu mpaka wengne wana Phd nao ni walewale tu ok ila kufkiri ni bora zaidi ona sasa ulichokiandika
 
Duh kwahiyo huko serikalini hakuna wasomi mkuu mbona wapo wengi tu mpaka wengne wana Phd nao ni walewale tu ok ila kufkiri ni bora zaidi ona sasa ulichokiandika
Msomi akiwa nje ya serikali ni kulalamika tu
 
Sera za upinzani ndio zinatumika katika hii nchi au ni sera za CCM?

Wapinzani ndio walisababisha bei ya sukari ipande?

Wanaoipinga serikali ndio wamesababisha bei ya mafuta ya kula ipande?

Wanaoipinga serikali ndio wamesababisha ATCL ijiendeshe kwa hasara?

Wanaoipinga serikali ndio sera zao zimepelekea bidha kupanda bei?

Wasomi wanaoipinga serikali ndio chanzo cha matumizi ya hovyo ya nje ya Bajeti?

Wasomi wanaoipinga serikali ndio chanzo cha kutenga fedha kidogo kwa ajili ya bajeti ya wizara ya maji na ile ya wizara ya kilimo inayoajiri watanzania wengi?

Wasomi wanaoipinga hii serikali ndio waliamua tununue ndege kwa cash?
 
Msomi akiwa nje ya serikali ni kulalamika tu
Ila akiwa ndani ya serikali ni kuharbu tu mfano mdogo inshu ya mafuta walioharbu ni wasomi walioko ndani ya serikali alafu wasomi walioko nje ya serikali wanawapinga kuwa hapa mnaharbu
 
Vipi mkuu mbona unaandika UJINGA kiasi hiki?

IQ yako ni ya story za umbea kule chitchat huku hupawezi!!
 
Kanaani ndio nini?

Wewe saizi yako ni kujadili misambwanda ya mdangaji mwenzako Wema Sepetu mengine yamekuzidi akili.
 
Khaa!
 
Huna hoja wewe , ni vyema uendelee kujikita kwenye Mada za kuwahoji wadada
 
Msomi akiwa nje ya serikali ni kulalamika tu
So Akiwa ndani ya serikali ni kukula tuu, haina shida kama wale wa ESCROW, manake wote walotajwa tunaona wanabembea na viti mjengoni
 
Hawa ndo waandamanaji hewa! Nyuma ya keyboards!
Hawa hawaaminiki jamani wanyonge wenzangu!
Tushikamane na rais wetu
Aaah wanyonge nyuma ya keyboard!!!!!!πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜‘ Jiulize wasomi wakweli wengi wako nje au ndani ya serikali.
 
Pumbavu kabisa huna akili..

Wapinzani ndio wamepandisha bei ya mafuta?

Wapinzani ndio wamesababisha Bombardier limekufa zaidi ya mwezi pale Mwanza Airport?

Wapinzani ndio wamepandisha bei ya sukari??

Nenda kakate viuno uonyeshe makalio yako kwenye swimming pool na shoga yako Wema huko.
 
Wagonjwa wa akili wamezidi kuongezeka!

Ova
 
Wewe thread ambazo zinaendana na uwezo wako wa kifikra ni thread za udaku na mastaa wa bongo fleva au filamu. Haya mambo yanayohitaji akili kubwa HUYAWEZI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…