Wasomi naomba umnisaidie kati ya kozi hizi nisome ipi?

Hizo zote kazi holaaaa bora mass communication unaweza unda kaTv kako. Kama Dauda TV , Ayo TV et
All in all muombe Mungu sana akusimamie uchague sawa na kusudi lake
 
Wakati mwingine JF inakuwa mahali pa ajabu na siyo great thinkers. Muuliza swali anahitaji anahitaji majibu na majibu au ushauri , unaweza kuwa na manufaa kwa watu wengi sana. Hivyo kama hujui unaweza kunyamaza. Ok kwa ushauri ngoja nije kama ifuatavyo kwa uzoefu wangu.

01: Bachelor of art in mass communication
Kozi hii inafaa kusoma kama una malengo na unataka kutumika katika fani ya habari. Kwa miaka ya sasa, bado fani hii ni muhimu na hasa kutoa habari kwa njia mbalimbali na hasa tukiona, upanashaji habari kwa makusudi mbalimbali umeongezeka.. Kuna upungufu mkubwa sana wa graduate in mass communication.. Ukipata digrii unaweza kuajiliwa na kujiajiri kwa vile maeneo ya upashanaji habari ni mengine huwezi kufa njaa ukisoma course na hasa kama unaweza kuwa na imagination ya vitu vya kufanya.

02: Bachelor of art in public administration
Hii course inategemea sana kuajiriwa na hasa sekta ya umma... Yaani serikalini , pengine kutokana na umri wa wafanyakazi na vyeti feki, watu wengi wataacha kazi, hivyo kutoa mwanya. Sioni namna ambayo unaweza kujiajiri kwa kutumia public administration skills- hii course ingekuwa ambayo nisingechagua kabisa.

03: bachelor of library and information management
Hii ni course bora kabisa hasa katika kipindi hiki cha teknologia na maendeleo ya habari.. Matumizi yake , usifikirie ni kuajiliwa tu kwenye library , la hasha... Unaweza kuajiliwa katika research center mbalimbali ndani ya nchi na nje. Unaweza kujiajiri mwenyewe, kufanya kazi zao kwa wanaohitaji research za aina mbalimbali..

04: bachelor of art in sociology.
Hii sijaifahamu vizuri na wapi inafaa.

05: Bachelor of art in natural resources management
- hii imekaa kuajiliwa ajiliwa na itategemea mambo ya NGO na taasisi kama hizo.
06: bachelor of community economic development

Kama juu hapo vinafanana - imekaa ki NGO zaidi.
==============.
Kwa ushauri wangu - angalia 1 na 3 - ni mtazamo binafsi.
 
Degree ya Shipping and Port management ntaipata chuo gani ? Maana East Africa Hamna chuo kinachotoa degree hii vyuo vyote mwisho Diploma.
 
We ndo mfano wa ma great thinker.
Unajua mkuu vijana wengi wanakuwa njia panda hii inatokana na kutokuwa na uelewa juu ya kozi mbalimbali..
Utakuta mtu pengine anapenda kuwa/kufanya kazi flani lakini inampa wakati mgumu kujua ni kozi gani asomee ilikuweza kufikia lengo lake..
Tofauti na hizi kozi nyingine ambazo zinafahamika kama ualimu na udakatri mtu anajua moja kwa moja...
Kwa jinsi ulivyomchambulia hivyo nauhakika atakaposoma itampa mda wa kujitafakari ni kitu gani ni sahihi kwake..
 
Thanx a lot.
 
Kweli ndugu.... Lakini kupoteana hv kumechangiwa na sababu nyingi, kumbuka kuna watu wamekosa first round na second round na wanataka kuendelea na masomo. Nikichukulia mfano mm, nilkua napenda saana sheria mwaka Jana nikaipata ila nikakosa mkopo, mwaka huu nimekosa chuo first na second rounds.... Unazani nitaendelea kukomaa na sheria wakat kuna nafasi zingne!??? Nmekaa mwaka mzma mtaani hakuelewek... Inafkia wakat inabd kutafta kozi ya kusoma kipind cha admission mzee........ Kwa hili nakili kwamba sisi wahitaji tunamatatzo yetu lakn pia mfumo huu wa udahili una mapungufu
 
Back
Top Bottom