Wasomali wameishika serikali;Mbunge | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wasomali wameishika serikali;Mbunge

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bajabiri, Jul 29, 2011.

 1. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #1
  Jul 29, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Jana wakat wa kikao cha Bunge alisimama mama mmoja mtu mzima ambaye alikuwa akichangia hoja juu ya wizara ya mambo ya ndani,sikuweza kujua ni MBUNGE wa chama gani,mama huyu kwenye mchango wake yeye alizungumzia sana juu ya wahamiaji haramu,hususan WASOMALI,alisema yeye anaish KURASINI anaona jinsi wasomali wanavyotumia nguvu ya pesa kuwanyanyasa raia,wanavunja nyumba za watu,wanachakachua mafuta huku POLISI wakiwa wanawasimamia,,,,,,,,
  Mama huyu ambae inaonesha ana ushahid alimtaja hadi msomali mmoja (jina nimelisahau),inaaminika huyu ni mfanyabiashara mkubwa hapa jijin,yeye haguswi na mtu yeyote,,,,,lakini alizitaja baadhi ya hoteli ambazo wasomali wamezjenga maeneo mbalimbali hapa nchini,akasema hiko ni kiini macho tu,wanazitumia hizo hoteli kama mwamvuli wa kufanyia UJANGILI,hoteli hizo zipo kwenye mbuga za wanyama au karibu na mbuga hizo.
  My Take:madai ya huyu mbunge ni vizuri yakafanyiwa kazi,kwa sasa KASI YA ONGEZEKO LA WAHAMIAJ HARAM HASA WASOMAL NA WAKONGO NI KUBWA SANA,JUZ KUNA MSOMAL ALIOGOPA KUSAJIL NAMBA YA SIMU MAHAL KWA SABABU HAKUWA NA KITAMBULISHO,,,,,,KARIAKOO YA SASA IMEJAA WASOMALI,HIVI NI KWELI WANA VIBALI VYA KUISHI?????
   
 2. crome20

  crome20 JF-Expert Member

  #2
  Jul 29, 2011
  Joined: Feb 5, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 60
  Kwa kweli hata mimi nina mashaka sana na integrity ya kitengo chetu cha uhamiaji. Tanzania imekuwa gateway kubwa ya illegal migrants hasa somalis. Kwa juu juu inaweza kounekana si jambo la hatari lakini tutakuja kuwaletea shida watoto wetu tukiruhusu uhamiaji holela.

  Kwanza hawa jamaa ni wabaguzi na katili sana si wa kuwaruhusu hata kidogo kuwapa nafasi kujiimarisha hapa tanzania. Waulize watu ambao wameishi somalia ndipo utapata habari zao. Kama wanashindwa kuishi salama na wasomali wenzao kutwa kucha ni kuchinjana itakuwa sisi. Police na idara ya usalama fanyeni kazi yenu kwa adili
   
 3. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #3
  Jul 29, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Kwa uhamiaji nadhan wamechemsha,wasomali,wacongo na watu wa malawi ambao hitwa wanyasa wamejaa sana,wanyasa ni wakata maua na watunzaji wa maua kwa vibopa wa HUKO
   
 4. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #4
  Jul 29, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,903
  Likes Received: 5,364
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo hao wasomali uamaanisha bashe na kinana..
   
 5. F

  Froida JF-Expert Member

  #5
  Jul 29, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Inatisha hasa aliposema mkanda mzima wa bahari takribani kilometa 1,420 wamejaa na kupewa viwanja kwenye fukwe nchi hii wanasiasa haswa nyie CCM munawauzia fukwe zetu kweli alshabaab,munawauzia mbuga majangili wakubwa wa ndovu walishaua hata OCD kule Loliondo ebu nyie viawavi viongozi wa magamba murejeeni muumba ogopeni hata ahera mutajibu nini nchi munaianika namna hii ona wimbi la wasomali wanavyokuja kupitia bagamyo,pangani,tanga,kilwa na mtwara nyie makaburi yenu hakika tutayapiga viboko
   
 6. h

  hargeisa JF-Expert Member

  #6
  Aug 22, 2011
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  jamani wa tz wasomali sio majangili kama waarabu na wahindi ambao wametufanya watumwa wao rejea swala la mafuta watz mnapewa 24hrs na waarabu na wowote mnatepeta kama ishu ni ubaguzi hawajamaa sio wote kuna wanaoishi RUKwa huwezi kuamini kama ni wasomali kwani wanashirikiana jammaa na wengi wameoleana
  WAARABU NA WAHINDI WW HUWEZI KUINGIA NDANI KWAO NAHUWEZI KULA NAO ACHENI KUWA NYANYASA WAAFRICA WENZENU
  CHUKI HAINA MAANA HWAJAMAA WANAWEKEZA KAMA WAWEKEZAJI WENGINE NA PIA UWEKEZAJI WAO WA MAJUMBA NI WA KIHALALI KWANI MAJUMBA HAYO YANAHAMISHIKA
  WATZ TUMEZOEA UWEKEZAJI WAITALIANO NA NYUMBA ZA MAKUTI HWA WANAFANYA KWELI
  BIG SOMALIS
   
 7. YoungCorporate

  YoungCorporate JF-Expert Member

  #7
  Aug 22, 2011
  Joined: Apr 30, 2010
  Messages: 388
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Baseless accusation spearheaded by the usual tanzanian blame culture over foreign origins. Tanzanians should once change their attitudes and endeavor to manage their affairs. Stop accusing neighbouring Kenyans and somalis for overpowering locals rather try to learn from them. Keep up walalos!
   
 8. Straddler

  Straddler JF-Expert Member

  #8
  Sep 7, 2011
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 719
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Huwajui WaTZ? Kusema sana kwao ni kama "art". I like them. Wanamtukana mpaka Rais wa nchi..!!!
   
 9. Straddler

  Straddler JF-Expert Member

  #9
  Sep 7, 2011
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 719
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Are you sure? Mimi ninaye rafiki yangu wa siku nying ambaye ni Msomali. Amenifafanulia kitu ambacho wengi hawakijui. Wasomali ukatili na ubaguzi wao ni miongoni mwa wenyewe kwa wenyewe. Ubaguzi na ukatili upo kati ya ukoo na ukoo.

  They never kill anyone from outside the Somali race unless if that someone has interfered with their wars. Ugandans have interfered that is why they got themselves killed. President JK has saved a lot of Tanzanian lives by not sending peace keeping forces to Somalia.

  As for being "Majangili", that is also not true. Somalis are good Muslims who refrain from killing innocent animals unnecesarily. They used to do a lot of trophy bussiness in the past, but only as middle men. Buying trophies from Tanzanian poachers and exporting them.

  To sum it up. Tanzanians, whether you want or not, are victims of their own doings.
   
Loading...