Wasoma namba!!

Simple

JF-Expert Member
Feb 6, 2009
249
121
Wale ambao tayari mmeshaisoma namba,,tiririkeni kwenye huu uzi ili tujue minamba namba mliyoisoma. Wanaovunjiwa nyumba,,wenye ukata sababu ya ujanja ujanja kuzibwa,,wazee wa deko bandarini na wengine wote,,mwagikeni humu
 
ecig-gasping.jpg
 
Me am safe and warm in a shared apartment and I don't give a damn sh** of what is going on there bcoz you easily let the Chama Cha Makenge to take power again without even a demonstration or a fight eti yote tunamuachia Mungu.

Tanzania ya CCM siyo nchi ya Kujivunia
 
Back
Top Bottom