Wasiwasi wangu kwa SSH.

Wasiwasi wangu kwa SSH.

4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2019
Posts
11,301
Reaction score
12,952
Wakuu hamjambo wote hapa jf ,niwasalimu kila mmja kwa imani yake.

Rejea mada tajwa hapo juu ,kama ilivyoandikwa

Nipo na wasiwasi iliyo kuu kwamba SSH hakupanga wania urais 2025.

Wenda shida nikupitia kwa majizi ,mafisadi wa nchii hii ,kwenda naye ili kamilisha malengo yao.

Ukiangalia mambo yanavyoenda, kuanzia pitishwa pale Dodoma , unaweza jua kwamba ,kipo kikundi kinacho buruza mamlaka hii ya urais.

Angalia mpaka sasa kwa kesi ya Lissu yanayoendelea , utajua tu kwamba ni mamlaka ya watu wachache kujimilikisha Taifa kupitia Mgongo wa ikulu.

Wenda mama yetu ametekwa sie hatujui japo lawama zote kwake.

Kuna viongozi wamelalamika namna ya kumuona boss wao ambae ni rais ila hatujaliweka manani kabisa .

Rais wetu wenda ametekwa na kupangiwa cha kufanya ? Ni maoni yangu , wewe mdau unasemaje kwa hili?
Karibu kwa mjadala wakuu
 
Hiko kikundi kipo long time. Ni vile watu wako in denial, rais pekee ambae alikataa kukubaliana nao ni Jpm tu
 
Na mama anaogopa yasije yakamkuta, anatuachia legacy mbovu kabisa, kizaz na kizazi kitamlaum kwa utawala mbovu. Siku katiba ikibadilika lazima tuwashtaki na wachukuliwe hatua, kwa katiba hii ni nan aliyemwekea Kinga raisi? Nyerere ndio walipitisha hii? Hebu tufahamishane?

Katiba mbovu? Mfumo mbovu kila kitu kibovu
 
Wakuu hamjambo wote hapa jf ,niwasalimu kila mmja kwa imani yake.

Rejea mada tajwa hapo juu ,kama ilivyoandikwa

Nipo na wasiwasi iliyo kuu kwamba SSH hakupanga wania urais 2025.

Wenda shida nikupitia kwa majizi ,mafisadi wa nchii hii ,kwenda naye ili kamilisha malengo yao.

Ukiangalia mambo yanavyoenda, kuanzia pitishwa pale Dodoma , unaweza jua kwamba ,kipo kikundi kinacho buruza mamlaka hii ya urais.

Angalia mpaka sasa kwa kesi ya Lissu yanayoendelea , utajua tu kwamba ni mamlaka ya watu wachache kujimilikisha Taifa kupitia Mgongo wa ikulu.

Wenda mama yetu ametekwa sie hatujui japo lawama zote kwake.

Kuna viongozi wamelalamika namna ya kumuona boss wao ambae ni rais ila hatujaliweka manani kabisa .

Rais wetu wenda ametekwa na kupangiwa cha kufanya ? Ni maoni yangu , wewe mdau unasemaje kwa hili?
Karibu kwa mjadala wakuu
Mie naona yeye ndiye kawateka wenzake na kuwatumia atakavyo hadi kuwatukana kwa kuwaita machawa nao wakakubali
 
Nipo na wasiwasi iliyo kuu kwamba SSH hakupanga wania urais 2025.

Wenda shida nikupitia kwa majizi ,mafisadi wa nchii hii ,kwenda naye ili kamilisha malengo yao.

Ukiangalia mambo yanavyoenda, kuanzia pitishwa pale Dodoma , unaweza jua kwamba ,kipo kikundi kinacho buruza mamlaka hii ya urais.

Angalia mpaka sasa kwa kesi ya Lissu yanayoendelea , utajua tu kwamba ni mamlaka ya watu wachache kujimilikisha Taifa kupitia Mgongo wa ikulu.
Kuna watabiri huko hawalali tuwaache watimize wajibu wao
 
Rais Samia unakumbuka alopoambiwa hana nia ya kugombea 2025 jinsi alivyojsmaki.
Ana hamu ya kugombea urais kupita kiasi kwa sababu uteuzi wake umefanyika ' aforetime.
 
Taifa lilitakiwa liwe na taasisi iliyo neutral isiyofungamana na SIASA isiyokuwa na uchawa uchawa kwa chama tawala.
Mfano spika ndugai alijaribu kuonyesha msimami wake kwa maslahi na usalama wa Taifa alivyotetea maslahi ya Taifa bila uchawa uchawa pale alipohoji kuhusu nchi kupigwa mnada na kukopa kopa deni la taifa kuongezeka...kiasi kwamba unaweza kusema kweli muhimili wa bunge umesimama kwa maslahi ya taifa lakini..mwisho wa siku aliishia kutumbukiwa...
Vyombo vyote vya ulinzi na usalama the same vina utii kwa raisi na kiripoti kwa raisi na wanateuliwa na raisi
Mahakama majaji wanateuliwa na raisi
LABADA JESHI
Natamani tungekuwa na chombo au taasisi ambayo iko Neutral haifungamani na chama cha siasa bali IPO KWA MASLAHI NA USTAWI NA USALAMA WA TAIFA na rasilimali zake ,ambapo hicho chombo kiwe na nguvu ya Kutetea taifa dhidi ya serikali yake
Mfano akitokea raisi mfano akataka kuuza rasilimali zote za Taifa au akataka kufanya mambo ambayo hayana maslahi kwa taifa basi hicho chombo kisimame KUTETEA Taifa kwa maslahi ya taifa...HICHO CHOMBO sijui nikiitaje LABADA nikiite KATIBA MPYA mana hata Tiss bado wapo chini ya raisi hivyo kama huko mbeleni anatokea raisi ambaye ataenda kinyume na katiba au akiamua KUIPIGA mnada nchi..nani atamfunga paka kengele..nani atasimamia taifa??
labda ELIMU ,wananchi wenyewe siku wakiamuka usingizini WATASIMAMIA taifa lao wenyewe. na rasilimali zao na kodi zao ,mana WANANCHI ndio wenye nchi wao ndio maboss ndio wamemuajiri hata raisi ,na hata mishahara ya viongozi ni kodi zao,mafuta ya misafara ya viongozi kila kitu ni pesa zao,sasa unakuta wanasiasa wanasema wanafanya maendeleo kwa pesa za serikali wakati ni pesa za wananchi na maendeleo ni haki yao na wao ndio wanalipa mishahara viongozi.NGUVU YA UMMA ..PEOPLES POWER..siku wananchi wakiamuka wakadai haki zao wenyewe ,na wakatetea rasilimali zao wenyewe huko mbeleni siku wakiamuka usingizini..ELIMU ELIMU ...ILIMU DUNIA.
 
Attachments

  • images - 2025-04-06T170815.462.jpeg
    images - 2025-04-06T170815.462.jpeg
    49.9 KB · Views: 12
  • images - 2025-03-30T151312.851.jpeg
    images - 2025-03-30T151312.851.jpeg
    35.1 KB · Views: 13
  • images - 2025-03-30T151155.234.jpeg
    images - 2025-03-30T151155.234.jpeg
    18.7 KB · Views: 17
  • images - 2025-03-30T151346.923.jpeg
    images - 2025-03-30T151346.923.jpeg
    24.1 KB · Views: 14
  • images - 2025-03-30T152501.267.jpeg
    images - 2025-03-30T152501.267.jpeg
    10 KB · Views: 15
  • downloadfile-15.jpg
    downloadfile-15.jpg
    135.1 KB · Views: 13
sasa vyombo vya ulinzi na usalama ndio hivi vinaumiza wananchi wanaotetea taifa na kudai haki...kazi yao ni kutumika kuumiza watu wanaopinga maovu ETI NDIO uzalendo..eti ndio vinalinda amani..kwa kuumiza raia wema.
 
Attachments

  • downloadfile-15.jpg
    downloadfile-15.jpg
    135.1 KB · Views: 15
CCM wana mbinu et nyingi. Nasikia wanaenda kupiga kata funua, nchimbi ndio mgombea urais.
 
Back
Top Bottom