Wasiwasi wangu kwa SSH.

Wasiwasi wangu kwa SSH.

CCM NI ILE ILE ,yani aliyekuwa mpinzani ni Magufuli tu..ndiyo alikuwa
Pamoja na mapungufu yake name any ila kwa SIFA YA UZALENDO ,Magufuli alikuwa na uchungu nanTaifa hili,angeweza kulipiga mnada lakini alitetea rasilimali za taifa..alikataa mikataba mibovu..alikataa kuuza bandari..sifa yake mpeni..japo sifahamu kabisa mambo ya siasa lakini..HATA KICHAA TU anaweza kuona kuwa magufuli alikuwa mzalendo ...aisee hata ndugai pamoja na yote ile kauli aliongea aisee ni ya kizalendo sana ..hakuna chawa yoyote anaweza kusema kama alivyosema ndugai
 
Ila c tulikubaliana JPM ni katili hvy afadhali amekufa, vp tena mbona mayowe wakati mlisema mama ameiponya nchi 😎
 
Na mama anaogopa yasije yakamkuta, anatuachia legacy mbovu kabisa, kizaz na kizazi kitamlaum kwa utawala mbovu. Siku katiba ikibadilika lazima tuwashtaki na wachukuliwe hatua, kwa katiba hii ni nan aliyemwekea Kinga raisi? Nyerere ndio walipitisha hii? Hebu tufahamishane?

Katiba mbovu? Mfumo mbovu kila kitu kibovu
Mkuu nenda kwa mada tu ikupendeza mkuu
 
Ila c tulikubaliana JPM ni katili hvy afadhali amekufa, vp tena mbona mayowe wakati mlisema mama ameiponya nchi 😎
Wenda zake ndiyo alikua wa wakuzim , twende kwa mada
Mie naona yeye ndiye kawateka wenzake na kuwatumia atakavyo hadi kuwatukana kwa kuwaita machawa nao wakakubali
Sawa mkuu , ila niombe tufikri juu ya Taifa letu
 
Hiko kikundi kipo long time. Ni vile watu wako in denial, rais pekee ambae alikataa kukubaliana nao ni Jpm tu
Huo ndo ukweli alijitahidi sana Sema aliamini watu ambao sio Sawa ndo waliomwangusha kikulacho
 
Ila c tulikubaliana JPM ni katili hvy afadhali amekufa, vp tena mbona mayowe wakati mlisema mama ameiponya nchi 😎
nimekosa mimi nimekosa mimi bora ya JPM,
kwa sababu kama ni mauaji bado yanaendelea ,watu wasiojulikana bado wanaendelea,yale mabaya bado yanaendelea

ILA yale mazuri ya JPM hayapo hayaendelei.
jpm angekuwepo bandari zetu zingekuwepo zisingepigwa mnada,..n.k
 
Shetwani hamkamati wala kumvuta mtu kwenye maaswi , Leo atoke hadharani na kutangaza kuwa hatagombea ,atayarishe kuzungumza na Majeshi na nchi kuikabidhi kwa Jeshi mpala Uchaguzi mkuu unamalizika. Watajiju
 
Wakuu hamjambo wote hapa jf ,niwasalimu kila mmja kwa imani yake.

Rejea mada tajwa hapo juu ,kama ilivyoandikwa

Nipo na wasiwasi iliyo kuu kwamba SSH hakupanga wania urais 2025.

Wenda shida nikupitia kwa majizi ,mafisadi wa nchii hii ,kwenda naye ili kamilisha malengo yao.

Ukiangalia mambo yanavyoenda, kuanzia pitishwa pale Dodoma , unaweza jua kwamba ,kipo kikundi kinacho buruza mamlaka hii ya urais.

Angalia mpaka sasa kwa kesi ya Lissu yanayoendelea , utajua tu kwamba ni mamlaka ya watu wachache kujimilikisha Taifa kupitia Mgongo wa ikulu.

Wenda mama yetu ametekwa sie hatujui japo lawama zote kwake.

Kuna viongozi wamelalamika namna ya kumuona boss wao ambae ni rais ila hatujaliweka manani kabisa .

Rais wetu wenda ametekwa na kupangiwa cha kufanya ? Ni maoni yangu , wewe mdau unasemaje kwa hili?
Karibu kwa mjadala wakuu
Nadharia za kijinga kama hizi utazikuta Tanzania tu. Eti hakupanga kuwania wakati kibibi kina uchu wa madaraka kuliko fisi na mnofu. Hivi kwa kutumia hata chembe ya ubongo wako kuna mtu anayeweza kulazimishwa kuwa rais bila kupenda? engine hujui maana ya urais wewe.
 
Wakuu hamjambo wote hapa jf ,niwasalimu kila mmja kwa imani yake.

Rejea mada tajwa hapo juu ,kama ilivyoandikwa

Nipo na wasiwasi iliyo kuu kwamba SSH hakupanga wania urais 2025.

Wenda shida nikupitia kwa majizi ,mafisadi wa nchii hii ,kwenda naye ili kamilisha malengo yao.

Ukiangalia mambo yanavyoenda, kuanzia pitishwa pale Dodoma , unaweza jua kwamba ,kipo kikundi kinacho buruza mamlaka hii ya urais.

Angalia mpaka sasa kwa kesi ya Lissu yanayoendelea , utajua tu kwamba ni mamlaka ya watu wachache kujimilikisha Taifa kupitia Mgongo wa ikulu.

Wenda mama yetu ametekwa sie hatujui japo lawama zote kwake.

Kuna viongozi wamelalamika namna ya kumuona boss wao ambae ni rais ila hatujaliweka manani kabisa .

Rais wetu wenda ametekwa na kupangiwa cha kufanya ? Ni maoni yangu , wewe mdau unasemaje kwa hili?
Karibu kwa mjadala wakuu
Umemuona akimfukaza Ndugai, aliwatoa Lukuvi, Kabudi, polepole, Makonda, Jerry Slaa, Kuondoa nguvu ya Majaliiwa, Dr Mpango,.

Badata yake amewaweka wahuni, ndugu zake serikalini anaoweza kuwa- control.

Alivyojipisha CCM alipangiwa na nani? Mama yako ni muhuni, katili kuliko tawla yoyote iliiopita Tanzania.
 
Kwa mimi naona hata wewe unaleta propaganda za kumtetea raisi wako na sababu kubwa inaweza kua kwasababu ni "mwanamke", tangu enzi za Nyerere madai ya wastaafu kushika remote control yameshika hatamu awamu hii, ni kwanini mnahisi Samia hawezi kufanya hizo figusu na hayo maamuzi yeye mwenyewe??
 
Back
Top Bottom