GE2025 Wasira: Propaganda mitandaoni hazina ukweli, nchi ipo salama, mkapige Kura

GE2025 Wasira: Propaganda mitandaoni hazina ukweli, nchi ipo salama, mkapige Kura

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

PAYE

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
354
Reaction score
395
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema nchi ipo salama, wananchi wakumbushwe na kuhamasishawa kuwapigia kura wagombea wenye sifa ambapo kwa upande wa urais ni Dk. Samia Suluhu Hassan anayetokana na CCM.

Amesema zipo propaganda chafu katika mitandao ya kijamii lakini yanayooelezwa ni upotoshaji, hayana ukweli kwa lengo la kupotosha umma.

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema nchi ipo s.jpg
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Uchaguzi wa 2020 uliporwa uchaguzi wa serikali za mitaa nao mkaupora sasa na huu wa 2025 ni yaleyale.

Mimi Imhotep sitopiga kura.
 
Watu wanatekwa wanapotezewa haki za kuishi. Then mnasema kuna amani ? Upumbuvu kabisa huu
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema nchi ipo salama, wananchi wakumbushwe na kuhamasishawa kuwapigia kura wagombea wenye sifa ambapo kwa upande wa urais ni Dk. Samia Suluhu Hassan anayetokana na CCM.

Amesema zipo propaganda chafu katika mitandao ya kijamii lakini yanayooelezwa ni upotoshaji, hayana ukweli kwa lengo la kupotosha umma.

Huyu msameheni bure
 
Kupiga kura ni kuhalalisha wakosaji waendelee kupotezwa. Yaani tuwe na Taifa ambalo ukitokea ufisadi, wizi, dhulma, mauaji tukae kimya kama hakijatokea kitu.

TAIFA la namna gani hili?
 
Back
Top Bottom