Wasira kawafunika

Wasira kawafunika

Kwa hiyo tukubali serikali tatu Kwasababu ya idadi ya mizinga anayopigiwa Raisi??

nyinyi mikundo si mpitishe s3 kama inavyo eleza rasim alafu ndio mwende mkawaonge wajinga kanga na chumv ili wawapitishie hofu ya nn?
 
wananchi wamesema wanataka serikali 3 sasa kama nyie waroho wa madaraka mnaona s3 hazitekelezeki kwanini msituachie nchi yetu waishike wenye uwezo wa kuendesha 3
 
Alileta au alilazimishwa. mchakato wa katiba ulianzishwa na chadema alafu yeye kama kivuli akakubali. IF EYES CAN NOT SEE MIND IS BLIND.

hajalazimishwa na mtu yoyote. Chadema hawawezi kulazimisha jambo lolote wakati wao sio serikali!
 
Mwisho wako wa kufikiri kumbe pafupi hivyo

Wewe acha uchizi na unafiki! Tunajua wewe ni CCM.

Lakini ukjweli unabaki palepale kwa kila Mtanzania aliyeangalia runinga ya ITV jana kwamba CCM ndiyo chanzo cha kutaka kukwamisha au kuzuia mchakato huu wa Katiba Mpya. Prof. Lipumba na Mwanasheria mahiri Tundu Lissu ndio waliokuwa na HOJA ZA MSINGI kuonyesha kuwa Wassira(Hassira) na CCM yake ndiyo wanaotaka kuchezea Rasimu ya Katiba ili wapate Katiba wanayotaka wao na siyo ile yenye MAONI YA WATANZANIA!

Msumari wa mwisho ulipigiliwa na waliokuwa wajumbe ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba: Humphrey Polepole toka Tanganyika na Awadhi Said toka Zanzibar walipoweka wazi kwamba kinachotakiwa kujadiliwa Bungeni kulingana na Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ni Rasimu ya Tume ya Katiba. Ndugu Polepole huku akongea kwa upole alihoji ni KWANINI SERIKALI YA CCM IMEFUNGA TOVUTI YA TUME ILHALI BADO WATANZANIA WALIKUWA WANA HAKI YA KUENDELEA KUSOMA NA KUPITIA RANDAMA NA MAPENDEKEZO YA TUME????

Wassira wako unayedai alifunika hakujibu hata hoja moja katika hizi!!!Kama huna hoja ni vizuri ukanyamaza kimya.
 
He! Sokwe kawafunika binadamu?
Eti hawa ndo wanataka wapewe nchi, mbona tutachekwa na dunia nzima? Hivi unaomba wananchi wakupe kuongoza nchi unaandika maneno kama hayo? Kama na wenzio wote mko hivyo, hamfai kabisa, anzeni upya!
 
Eti hawa ndo wanataka wapewe nchi, mbona tutachekwa na dunia nzima? Hivi unaomba wananchi wakupe kuongoza nchi unaandika maneno kama hayo? Kama na wenzio wote mko hivyo, hamfai kabisa, anzeni upya!

Battery low? Recharge
 
Back
Top Bottom