Wasira kawafunika

Wasira kawafunika

1. Ukawa wanasema ni maoni ya wananchi. Kwa nini wanashindwa kusubiri ipelekwe kwa wananchi ishindwe?

2. Kuboresha maana yake nini? Mbona vifungu vingine vikizungumziwa hawasemi tunaacha maoni ya wananchi?

3. Mchakato unafuata sheria iliyotungwa na bunge. Sheria ikikosewa maana yake tuwe na katiba mbovu kwa sababu hiyo?

Selina kombani ...........hakuna haja ya katiba mpya ....ccm

Fredriki welema............hakuna haja ya katiba mpya.....ccm

Chikawe......................h akuna haja ya katiba mpya.....ccm

Kinana.........................hakuna haja ya katiba mpya......ccm

kwanini tusiaamini kwamba ccm ndiyo kikwazo?
 
Mkuu mleta mada, ni wewe tu uliyeangalia mdahalo?? Wengine hatujui kuchambua mambo eti??
 
ukawa ni sumu ya kuuwa ccm na vibaraka wake wote ccm leo wamevuliwa nguo zote na kubaki uchi mm niliwaambia kwenye mdahalo lazma mtaumbuka hana uwezo wa kushindana na chadema kwa hoja hata siku wassira wamemzomea mpaka akakimbia kwa aibu ukawa pongezi sana tundu lissu na lipumba ni makamanda na wazalendo wa ukweli
 
Hv kwa muuno wako wasira aliongea kitu gan cha msingi?
 
Kwa hoja zipi?

kama nikwakupiga kelele hata mtoto mdogo akigongwa sindano ikamwingia hufunika kwa kelele waaah, waah watu wakapigwa butwaa na kutatizwa na mayowe.

Wassira kashushiwa nondo kapaniki

moja ya swali lilomshinda .ni hili

Dr shein anapigiwa mizinga kama nani kule zanzibar? unakumbuka alijibu nini.............leta majibu.

ivi naomba kuuliza kupigiwa mizinga au kutopigiwa mizinga kwa shein kuna impact gani kwa sisi walala hoi, coz shida yetu sisi ni speed ndogo ya maendeleo na sio mizinga 30.
 
Kwa hoja zipi?

kama nikwakupiga kelele hata mtoto mdogo akigongwa sindano ikamwingia hufunika kwa kelele waaah, waah watu wakapigwa butwaa na kutatizwa na mayowe.

Wassira kashushiwa nondo kapaniki

moja ya swali lilomshinda .ni hili

Dr shein anapigiwa mizinga kama nani kule zanzibar? unakumbuka alijibu nini.............leta majibu.
Kwa hiyo tukubali serikali tatu Kwasababu ya idadi ya mizinga anayopigiwa Raisi??
 
Hii inaonyesha una mtindio wa aina gani kichwani. Mdaharo tumeuona. Aibu aliyopata waisra ingawa ccm ndiye huwa wanamuona eti ni jembe kahaibika sana. Lissu ni zaidi ya wabunge 250 wa ccm. Wasira analazimisha eti ukawa warudi bungeni ila jamaa wamesema maoni ya ukawa ndiyo haya ya sisi wananchi apa. Sawli maoni ya serikali mbili yamechukuliwa na tume gani?
Wewe ndio umejaza mavi kichwani! Nani anawalazimisha hao UKAWA warudi bungeni??? Hivi unadhani kutokurudi kwao kutazuia mchakato kuendelea! Fikiri upya wewe dada!
 
Kwa hiyo tukubali serikali tatu Kwasababu ya idadi ya mizinga anayopigiwa Raisi??

Umejibu swali?

1. Dr shein anapigiwa mizinga kama nani kule zanzibar? unakumbuka alijibu nini.............leta

majibu

Maana yake

a) Zanzibar ni taifa kamili lenye katiba yake, wimbo wake wa Taifa, bendera yake na amiri jeshi wake

b) Kama ndivyo katiba ya JMT inasema hivyo? kwenye a) hapo juu? nani kavunja katiba ya JMT Jakaya kikwete ndiye alievunja katiba.

Suluhisho

Inahitajika serikali ya Tanganyika kuweka uwiano sawa na kilichoanishwa kwenye a) hapo juu.

Yaan serikali ya Zanzbar, serikali ya Tanganyika na ile ya JMT. Vinginevo Shein hasthili kupigiwa mizinga kama

amirijeshi hana sifa hiyo hapa ndipo Wassira alipokwama kujibu swali. Na hili linawezekana ndani ya serikali-3 tu.
 
Kwa hiyo tukubali serikali tatu Kwasababu ya idadi ya mizinga anayopigiwa Raisi??

mtujuze vizuri yaliyojiri,ila kama hoja ni mizinga mi cizani kama ina maslahi yoyote kwa wananchi,tupewe faida za kiuchumi na kiusalama kati ya serikali mbili na tatu na cio mizing.
 
Sasa huyo wasira kaongea nini chamana zaidi ya kutegemea kwenye zile serikali 2 tusizo zitaka acha ushabiki maslahi ya Taifa mbele kwanza watu twataka 3.3.3
 
Umejibu swali?

1. Dr shein anapigiwa mizinga kama nani kule zanzibar? unakumbuka alijibu nini.............leta

majibu

Maana yake

a) Zanzibar ni taifa kamili lenye katiba yake, wimbo wake wa Taifa, bendera yake na amiri jeshi wake

b) Kama ndivyo katiba ya JMT inasema hivyo? kwenye a) hapo juu? nani kavunja katiba ya JMT Jakaya kikwete ndiye alievunja katiba.

Suluhisho

Inahitajika serikali ya Tanganyika kuweka uwiano sawa na kilichoanishwa kwenye a) hapo juu.

Yaan serikali ya Zanzbar, serikali ya Tanganyika na ile ya JMT. Vinginevo Shein hasthili kupigiwa mizinga kama

amirijeshi hana sifa hiyo hapa ndipo Wassira alipokwama kujibu swali. Na hili linawezekana ndani ya serikali-3 tu.

Ndugu yangu hapo ndipo tunaposema Wasira kawafunika akina Lisu! Suala la Raisi gani apigiwe mizinga mingapi na nani sipigiwe kabisa mizinga sio hoja ya msingi ya kuleta serikali tatu!
Nilitegemea akina Lisu na huyo Mchumi Lipumba watuambie kwakuwa na serikali tatu wananchi watapata ahueni zipi katika nyanja za kiuchumi, kijamii na kisiasa??? Vinginevyo sioni hoja ya mizinga na mgawanyo wa vyeo kama ni hoja zinazojitosheleza kuongeza idadi ya serikali
 
Gharama za uendeshaji zitakavyopungua zimefafanuliwa vizuri sana na ukawa kwenye mdahalo labda kama hukuwa unasikiliza kwa makini
 
Mwenyekiti wa CCM hiyo hiyo unayoiona kikwazo, Jakaya Kikwete si ndie aliyeleta mchakato wa katiba mpya au?

Alileta au alilazimishwa. mchakato wa katiba ulianzishwa na chadema alafu yeye kama kivuli akakubali. IF EYES CAN NOT SEE MIND IS BLIND.
 
Mimi niliwatch A-Z ya mdahalo. Hoja ipi ya Wasira iliyofunika? au vile kasema 8500 kati ya 16000 pro s3 walitoka kigoma? Pro s2 walitoka wapi? Serikali 2 ni ipi na ipi? wasira kaongea sawa na aliyoongea Lamek mwanza jana.
 
Back
Top Bottom