jessenmutta
Member
- Nov 23, 2013
- 38
- 8
Baada ya mdahalo wa leo wasira kaonesha anajua anachokisema na amekomaa kisiasa, Lipumba kajitahd ila tundu lissu karopoka 2 mpaka akajikuta anaongea uongo.
Mambo kama haya ndo yapo hadi bungeni kwenye suala la katiba hakuna mshindi ni maridhiano mkuu,hao wanaojiona wengi wamekwama ndo maana wanataka UKAWA warudi,katiba ni yetu sote wingi si hoja.Baada ya mdahalo wa leo wasira kaonesha anajua anachokisema na amekomaa kisiasa, Lipumba kajitahd ila tundu lissu karopoka 2 mpaka akajikuta anaongea uongo.
Baada ya mdahalo wa leo wasira kaonesha anajua anachokisema na amekomaa kisiasa, Lipumba kajitahd ila tundu lissu karopoka 2 mpaka akajikuta anaongea uongo.
Baada ya mdahalo wa leo wasira kaonesha anajua anachokisema na amekomaa kisiasa, Lipumba kajitahd ila tundu lissu karopoka 2 mpaka akajikuta anaongea uongo.
He! Sokwe kawafunika binadamu?
Mwanzoni watu walidanganywa kuwa mbunge mmoja wa CDM eti ni sawa na wabunge 10 wa CCM, lakini leo tumejionea wenyewe kwamba Wasira mmoja ni sawa na UKAWA 20!!
Hongera Wasira!

Mdahalo ulikuwa unahusu nani anakwamisha katiba mpya. Kuongea mambo ya mizinga kunaonyesha kukosa hoja za mdahalo husika. Wasira amebaki kwenye hoja mwanzo mwisho pamoja na kulazimishwa kutoa majibu nje ya hoja.
Baada ya mdahalo wa leo wasira kaonesha anajua anachokisema na amekomaa kisiasa, Lipumba kajitahd ila tundu lissu karopoka 2 mpaka akajikuta anaongea uongo.
Kivipi kafunika wakati ccm ndiyo kikwazo je kauli hizi wewe na yeye hamzielewi?
Selina kombani ...........hakuna haja ya katiba mpya ....ccm
Fredriki welema............hakuna haja ya katiba mpya.....ccm
Chikawe......................h akuna haja ya katiba mpya.....ccm
Kinana.........................hakuna haja ya katiba mpya.....ccm
kwanini tusiaamini kwamba ccm ndiyo kikwazo?
1. Ukawa wanasema ni maoni ya wananchi. Kwa nini wanashindwa kusubiri ipelekwe kwa wananchi ishindwe?
2. Kuboresha maana yake nini? Mbona vifungu vingine vikizungumziwa hawasemi tunaacha maoni ya wananchi?
3. Mchakato unafuata sheria iliyotungwa na bunge. Sheria ikikosewa maana yake tuwe na katiba mbovu kwa sababu hiyo?