PreGE2025 Wasira apokelewa Sikonge, awasilisha ujumbe wa mkutano mkuu maalumu wa CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
843
Reaction score
1,024
WASIRA APOKELEWA SIKONGE, AWASILISHA UJUMBE WA MKUTANO MKUU MAALUMU WA CCM

Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira amewasili wilayani Sikonge Mkoa wa Tabora na kushiriki mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM ya wilaya hiyo.

Wasira amewasili wilayani humo leo Aprili 17, 2025 akiwa katika ziara ya kukagua uhai wa Chama na utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020-2025 akiambata na viongozi mbalimbali wakiwemo baadhi ya wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tabora, Said Nkumba.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Akizungumza na wana CCM katika mkutano wa Halmashauri Kuu ya Chama Wilaya ya Sikonge, Wasira amesema pamoja na mambo mengine amefika kuwaeleza wanachama kuhusu uamuzi wa Mkutano Mkuu Maalumu wa Chama kumchagua Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea urais wa CCM katika uchaguzi mkuu wa mwaka na mgombea mwenza wake ni Dk. Emmanuel Nchimbi.

Kwa upande wa urais wa Zanzibar, Wasira amewaambia wana CCM hao kuwa mkutano mkuu uliridhia na kumpitisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi kuwa mgombea wa CCM katika uchaguzi huo.

IMG-20250417-WA1812(1).jpg
IMG-20250417-WA1818(1).jpg
IMG-20250417-WA1816(1).jpg
IMG-20250417-WA1814(1).jpg

== ==
 
Attachments

  • IMG-20250417-WA1824(1).jpg
    IMG-20250417-WA1824(1).jpg
    691.2 KB · Views: 19
WASIRA APOKELEWA SIKONGE, AWASILISHA UJUMBE WA MKUTANO MKUU MAALUMU WA CCM

Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira amewasili wilayani Sikonge Mkoa wa Tabora na kushiriki mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM ya wilaya hiyo.

Wasira amewasili wilayani humo leo Aprili 17, 2025 akiwa katika ziara ya kukagua uhai wa Chama na utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020-2025 akiambata na viongozi mbalimbali wakiwemo baadhi ya wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tabora, Said Nkumba.

Akizungumza na wana CCM katika mkutano wa Halmashauri Kuu ya Chama Wilaya ya Sikonge, Wasira amesema pamoja na mambo mengine amefika kuwaeleza wanachama kuhusu uamuzi wa Mkutano Mkuu Maalumu wa Chama kumchagua Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea urais wa CCM katika uchaguzi mkuu wa mwaka na mgombea mwenza wake ni Dk. Emmanuel Nchimbi.

Kwa upande wa urais wa Zanzibar, Wasira amewaambia wana CCM hao kuwa mkutano mkuu uliridhia na kumpitisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi kuwa mgombea wa CCM katika uchaguzi huo.

== ==
 
Attachments

  • IMG-20250417-WA0130.jpg
    IMG-20250417-WA0130.jpg
    63.2 KB · Views: 22
  • IMG-20250417-WA0133.jpg
    IMG-20250417-WA0133.jpg
    102 KB · Views: 20
  • IMG-20250417-WA0128.jpg
    IMG-20250417-WA0128.jpg
    101.8 KB · Views: 23
  • IMG-20250417-WA0127.jpg
    IMG-20250417-WA0127.jpg
    127.2 KB · Views: 20
  • IMG-20250417-WA0129.jpg
    IMG-20250417-WA0129.jpg
    60.9 KB · Views: 22
  • IMG-20250417-WA0131.jpg
    IMG-20250417-WA0131.jpg
    66.1 KB · Views: 24
  • IMG-20250417-WA0134.jpg
    IMG-20250417-WA0134.jpg
    131.4 KB · Views: 24
  • IMG-20250417-WA0135.jpg
    IMG-20250417-WA0135.jpg
    114.4 KB · Views: 25
  • IMG-20250417-WA0136.jpg
    IMG-20250417-WA0136.jpg
    145.8 KB · Views: 25
  • IMG-20250417-WA0132.jpg
    IMG-20250417-WA0132.jpg
    55.6 KB · Views: 25
Back
Top Bottom