Ingekuwa weww umepata chance ungeacha?
Kwenye Siasa hakuna kustaafu ...
Nashangaa watu wanaopigania ukomo wa siasa kama vile wanapewa pension...
Ukiwa pensionable kwenye siasa ndio una staafu ... Hizo nyingine ni porojo
Wasira kuna kipindi alikuwa coordinator wa mawaziri kipindi cha JK,
Sasaivi ni masta of all, anacheka na wowote
Mzee wasira tupe maneno 😅