PreGE2025 Wasira akutana na Jaji Waryoba na Mzee Joseph Butiku, wateta

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
4,783
Reaction score
14,975
WhatsApp Image 2025-06-04 at 18.27.56_a4d3939b.jpg
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Stephen Wasira amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi waandamizi wastaafu wa Serikali.

Viongozi hao ambao amekutana nao leo June 4, 2025 jijini Dar es Salaam ni Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Waryoba pamoja na Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Mzee Joseph Butiku ambaye pia amewahi kushika nyadhifa mbalimbali serikali.
 
Ngoma ni nzito yaani nje ntiti ndani ntiti
 
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Stephen Wasira amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi waandamizi wastaafu wa Serikali.

Viongozi hao ambao amekutana nao leo June 4, 2025 jijini Dar es Salaam ni Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Waryoba pamoja na Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Mzee Joseph Butiku ambaye pia amewahi kushika nyadhifa mbalimbali serikali.
Wassira ni mchumia tumbo, hapo anawaza tumbo lake tu na ameweka pembeni maslahi ya umma

Kwa umri wake alitakiwa awe mstari wa mbele na awe na busraa na hekima za kutosha kukemea uhuni unaoendelea
 
Mzee wangu wasira , siku izi amekua tozi sana ,hapitanishi vifungo vya koti na shati kwa sasa
 
Wassira ni mchumia tumbo, hapo anawaza tumbo lake tu na ameweka pembeni maslahi ya umma

Kwa umri wake alitakiwa awe mstari wa mbele na awe na busraa na hekima za kutosha kukemea uhuni unaoendelea

Ndiyo sababu ya kupewa hicho cheo. CCM wanajuana. Akitoka yeye wanampa Lukuvi.
 
Wazee wenye akili na hekima ndio wanaelekea mwisho,

Sasa hawa vijana wa kushika hizo Nafasi sasa!
 
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Stephen Wasira amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi waandamizi wastaafu wa Serikali.​

Viongozi hao ambao amekutana nao leo June 4, 2025 jijini Dar es Salaam ni Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Waryoba pamoja na Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Mzee Joseph Butiku ambaye pia amewahi kushika nyadhifa mbalimbali serikali.
Labda wamenisikiliza

Back
Top Bottom