Ukimuona mwanamke anasema siku hizi hakuna wanaume waoaji, ujue huyo anataka pesa hana shida na ndoa, wewe wanaume wapo kibao wanaotaka kuoa wengine wanataka kuoa hadi wake wa nne.
Ukimuona mwanaume anasema siku hizi hakuna wanawake wenye sifa za kuolewa, ujue huyo hana shida na ndoa anataka kulelewa na wanawake.
Wanawake wapo kibao wanataka kuolewa wengine wajane, kama hutaki ndoa unasema tu kuwa umeamua kuishi hivyo mbona mapadri na masister wanaishi tu, usiwazingizie watu kuwa hawapo wanaotaka ndoa.
Jiwe gizani!
Sent using
Jamii Forums mobile app