mlinzi mlalafofofo
JF-Expert Member
- Apr 20, 2008
- 842
- 1,549
😂😂😂Shida sio kuoa, shida ni gharama baada ya kuoa,
Gharama ya chakula, malazi, burudani, matibabu,
In short, Vijana hatutaki kuoa tumeona wazee mlivyoteseka na ndoa zenu 🤣🤣🤣🤣
Au nasema urongo wajameni?
imani tu izo hazina ukweli, za kuambiwa...tumeona wazee mlivyoteseka na ndoa zenu 🤣🤣🤣🤣
🤣Uhuru usio na mipaka?Kuingilia Uhuru wa MTU
Hizi sio za kuambiwa, ni tumeona kwa macho yetuimani tu izo hazina ukweli, za kuambiwa...
🤣Hizi sio za kuambiwa, ni tumeona kwa macho yetu
Haahaa. Karibu mkuu! 😊Member since 2008
Uko sawa ukichoandika kwa makadirio ya umri wako
Ndo hivyo mkuu.....huwez mpangia MTU namna ya kuishi ambayo si salama moja kwa moja🤣Uhuru usio na mipaka?
Wanatupiga vizinga kila siku, hadi unaona kabisa mwamba anateswa na familia. Sasa ya nini kuingia kwenye mateso, eti wenyewe wanasema ndio uanaume, uanaume ni kujitafuta hadi ujipate hata ukiwa una 40+ utalea familia yako kwa amani.Shida sio kuoa, shida ni gharama baada ya kuoa,
Gharama ya chakula, malazi, burudani, matibabu,
In short, Vijana hatutaki kuoa tumeona wazee mlivyoteseka na ndoa zenu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ndoa ni jambo jema ni kiini cha sisi soteNdo hivyo mkuu.....huwez mpangia MTU namna ya kuishi ambayo si salama moja kwa moja
Wabongo wengi kama mtoa mada hawako serious, wachukulie kama comedians tu.Member since 2008
Uko sawa ukichoandika kwa makadirio ya umri wako
Bill gets hana mke hivi sasa, je hali yake ya uchumi ikojeInafahamika kuwa ndoa ni kitovu cha malezi na makuzi bora katika jamii yoyote duniani. Nje ya ndoa mtu wa aina yoyote anaweza kuzalishwa, mzuri au mbaya, japo mara nyingi uwezekano mkubwa ni kuzaliwa kwa machokoraa, wala ngada n.k.
Imesikika mara nyingi kuwa moja ya sababu kubwa ya watu kushindwa kuoana ni hali ngumu ya kiuchumi.
Kwaiyo basi mimi mlinzi mlalafofofo kama mlipa kodi halali naishauri serikali yangu kugharamia harusi ya kwanza ya mja awaye yoyote ndani ya jamhuri ili kama taifa tuwawezeshe wale wote wenye nia ya kuishi katika muungano wa ndoa.
Kwa wale wote wanaoendelea kuishi kama mke na mume wakipika na kupakua miaka na miaka bila kuwa na mpango wowote wa kuingia makubaliano ya ndoa, watu wa aina hii wamulikwe na sheria na ikiwezekana wakamatwe na kuhojiwa sababu ya wao kufanya hivyo.
Au nasema urongo wajameni?
Mwambie huyo. Shule ni kitu kizuri sana.Kuingilia Uhuru wa MTU ni kosa pia,yafaa ukamatwe pia
Elimu Elimu ElimuMember since 2008
Uko sawa ukichoandika kwa makadirio ya umri wako