Wasiopata mikopo tafadhali angalieni akaunti zenu, wameshawaingizia

kipusi

JF-Expert Member
Sep 29, 2015
443
74
Swala la mikopo kwa elimu ya juu tayari limeshugulikiwa, wanafunzi wote wameingiziwa mikopo Tunakushukuru Magufuli na serikali yako sikivu.
 
khaaa, jaman kwa sisi tuliopata mkopo lot ya sita majina yataletwa lin chuon!? kwa mwenye uelewa na hili kwa maana wale waliopata mwanzon mpaka saiz wote wameshasaini wanakaribia kusain bumu la pili , kwa sisi hatujui hatma yetu!!
 
Dah.!mimi nipo mwaka wa pili na mwaka jana(2014/2015) niliandikiwa BUDGET EXHAUSTED. Nikajipa moyo kuwa I'm eligible however budget exhausted. Nikajikusanya na kuanza shule kwa imani ya kuomba mapema sana mwaka ujao(HUU). Hadi sasa kimya, nataka niuombe uongozi wa chuo atleast wani-awrd CERTIFICATE nirudi tu home.
 
jipe moyo ndugu yangu, mungu mwema usichoke kupigania haki yako, hata mimi nimehangaika sana kuhakikisha nafanyiwa allocation, hatimaye nmepewa lot ya sita,! up to now ata cjui kama jina langu lmefka chuon ili nisain! tumwombe mungu my friend mtaoma86
 
Mkuu upo kama mimi mi nipo UDOM Mwaka Wa pili lakini kimya I wonder when I see the. slogan kuwa wote wamepata nikazan ni Mimi peke yangu
 
me nipo chuo cha kodi mwaka wa pili ni muhanga wa mkopo mwaka jana,mwaka huu pia nimeomba lakin kimya mpaka sasa sijui ndo wameshatuchinjia baharin............?
 
nipeni majina ya vyuo ambavyo hamjapatiwa mikopo now
 
jipe moyo ndugu yangu, mungu mwema usichoke kupigania haki yako, hata mimi nimehangaika sana kuhakikisha nafanyiwa allocation, hatimaye nmepewa lot ya sita,! up to now ata cjui kama jina langu lmefka chuon ili nisain! tumwombe mungu my friend mtaoma86

Nakukumbuka sana mkuu, pia hongera kwa kufanikiwa. Naomba sana lkn kila nisikiapo neno "..WOTE WAMEPATA.." ilihali mimi bado, hakika NAUMIA SANA. Maana hata wakunikopesha wanaamini nimepata ?₩?$$$$&/$@!
 
ucjal ndugu yangu, mungu mwema atafanya njia pale pasipo na njia, ukwel hata mimi walivotoa lot ya nne wakasema ndo ya mwisho, niliumia sana ndugu yangu, lkn nikajipa moyo ya kuzidi kuomba mungu kika cku na muda wote!! jitahd ufatilie mungu atakunyoshea mkono wake na kufungua baraka, huwez amin kwa wiki zima nlikuwa nafunga safar mpaka bodi lakini mambo yalbaki kuwa magumu tu, bt ckukata tamaa! "THE ONLY THING TO FEAR IS FEAR IT SELF"
 
Nakukumbuka sana mkuu, pia hongera kwa kufanikiwa. Naomba sana lkn kila nisikiapo neno "..WOTE WAMEPATA.." ilihali mimi bado, hakika NAUMIA SANA. Maana hata wakunikopesha wanaamini nimepata ?₩?$$$$&/$@!

uko chuo gan?? subr utaingiziwa kabla ya ijumaa
 
swala la mikopo kwa elimu ya juu tayari limeshugulikiwa wanafunzi wote wameingiziwa mikopo tunakushukuru magufuri na serikali yako sikivu.

Hivi wewe dogo unajielewa au ? Kama hauna chakuandika sio lazima uandike. Hivi unajua kwanza tanzania kuna vyuo vingapi ? Kwanza sio kosalako unaonekana ni mwaka wa kwanza, sikuingine usikulupuke kulopoka uliza kwanza wenzako au umetumwa dogo na CCM nin ? Yaani wew dogo tungekuwa tunakujua wew
 
Back
Top Bottom