Wangefanyiwa wao sasa ungesikia tunabaguliwa na kunyanyaswa kwa sababu sisi ni weusi na maandamano juu, pumbavu kabisa hao ngozi ya takoau sijui tusema wanaojulikana, hawa ndiyo wahamiaji ktk afrika huko australia, jionee mwenyewe …
View: https://m.youtube.com/watch?v=Pvihe_J4cJE
Alaaaa kumbee......Mwafrica ni zaidi ya shetani
Mwarabu na mwafrika tofauti yao ni ndogo sana ambayo ukiiangalia kwa jicho la 3 ni kama hakunaAlaaaa kumbee......
Kuna members wengi humu husema waarabu ni zaidi ya shetani!!!!
Hao wote ni pwagu na pwaguzi. Kwa wote mr devil anasubiriAlaaaa kumbee......
Kuna members wengi humu husema waarabu ni zaidi ya shetani!!!!
Usinifananishe na waarabu plz nakuheshimuMwarabu na mwafrika tofauti yao ni ndogo sana ambayo ukiiangalia kwa jicho la 3 ni kama hakuna
Safi sana Mwarabu mweusi mwenzetu kututetea sisi kuwa hatufanani kabisa na wakaguru toka Mahenge Moro.Usinifananishe na waarabu plz namuheshimu
Shindwa kabsa kuna typing error hapo. Nilimainisha asinifananishe na waarabu ninamueshimu nisije mkosea heshimaSafi sana Mwarabu mweusi mwenzetu kututetea sisi kuwa hatufanani kabisa na wakaguru toka Mahenge Moro.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Wangefanyiwa wao sasa ungesikia tunabaguliwa na kunyanyaswa kwa sababu sisi ni weusi na maandamano juu, pumbavu kabisa hao ngozi ya tako
Inafikirisha kwa kweli maana nina ndoto ya kufika huko ila naona hawa waswahili watatuaribia tunaotaka kufika huko maana wote tutaonekana ni wezi tukitu ambacho nimeshindwa kuelewa, wamefikaje huko australia na kuanza kuiba? i mean, australia siyo tu kwamba ni mbali bali pia ni kisiwa ambacho kiko pacific huko na asia na kupata viza ya australia kutokea afrika ni ishu kwanza hata ubalozi tu wa australia nchi nyingi haupo, ina maana kwa logic ya kawaida muafrika anayeweza kufika huko atakuwa na level fulani ya kimaisha na kwa hali ya kawaida hawezi kwenda kupora duka kuiba bia na washikaji, hapo ndipo sijaelewa kabisa, mfano afrika kusini kuna waafrika wengi wanavuka tu boda hata wale vibaka lkn australia, how ? …