Tee Bag naomba ile bahasha yangu niifungue
Hata wewe mdogo wangu umenichunia?Hata kijibox kidogooo????
ngoja tumsubiri tee bag tutagawana atakachonipa
Poleni...kama hamna zawadi za kufungua fungueni hata milango!!!
Poleni...kama hamna zawadi za kufungua fungueni hata milango!!!
ina maana hata bebi kakuchunia...Usituumize roho jamani!!!
Dear mother, wishing you a happy boxing day and a lovely celebration. I wish you have made the beautiful cake for me as last time I could not have a piece because of my disastrous friends.
ina maana hata bebi kakuchunia...
Fungueni hata fridge...!
Mambo vipi shem?Huonekani jamani ni nini mbaya?
Duh...hii ni konfesheni?
Mambo vipi shem?Huonekani jamani ni nini mbaya?
box lako umepata? lilifika?