wasio memba humu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wasio memba humu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mbongopopo, Dec 28, 2010.

 1. m

  mbongopopo JF-Expert Member

  #1
  Dec 28, 2010
  Joined: Jan 24, 2008
  Messages: 1,112
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  naonaga watu walio online namba ya wasio members kubwa kuliko ya walio memba
  mara nyingi ni over *10, sasa why wanapewa ruhusa kwenye mengi kama list ya public forum iejaa kila kitu

  mie naona waonjeshwe kidogo machache then wajiunge kama sie na sio copy & paste bile kuwa memba

  au unasemaje muhusika?
   
 2. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #2
  Dec 28, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,600
  Trophy Points: 280
  Wazo lako ni Zuri lakini kadri siku zinavyokwenda na ndio tunapata member wapya ondosha wasiwasi wanajiunga tu kidogo kidogo kuna Thread zingine wanazikosa hao wasiokuwa wanachama humu ndani. waache wachungulie Kinyemela ipo siku watajiunga kila kitu kinakwenda taratibu tutafika tu na hili gurudumu la maendeleo yetu.
   
 3. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #3
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,515
  Likes Received: 1,685
  Trophy Points: 280
  Usijidanganye.....Malaria sugu ndo anajiunga kila siku kwa ID tofaui
   
Loading...