michezo maalum kwa wenye bahati maalum. kwenye bahati nasibu zote tz kuanzia betting, biko, tatu mzuka na hii ya mitandao ya simu; najikuta nimejipachika bedge ya SINA BAHATI kwanza ili kuinisuru roho yangu kunisuta baadae. maana probability/uwezekano wa mimi kuchmolewa kwenye mamilioni ya watanzania zaidi ya 30,000,000 (chukulia adults) pia wachezeshaji wanaruhusu MCHEZAJI ACHEZE MARANYINGI AWEZAVYO ILI KUJIONGEZEA NAFASI ZA USHINDI. mhhhh. lau raundi moja ifike 75,000,000 tickets. sasa tikiti yangu moja tu ya 500 sijui 1,000 ndio nishinde. who am i?
ni kama kaugonjwa lakini kananiweka free of stress, mate yananitoka nikiona akisha musa husseinna kajala wakileta mrejesho wa washindi lakini ngoja wale tu!