Nimesema, sina uswahiba na Mbowe hata kidogo. Nasema behavior ya Lisu kwenye kampeni, siwezi kuwa mfuasi wa mtu kama huyo! Siwezi kuongozwa na mtu kama huyo. SAWA NA CCM, SIWEZI KUUNGA MKONO ccm NA VIONGOZI WAKE, SIWEZI KATU! MAANA WAO NI MASHETANI, SIWEZI KUUNGANA NA SHETANI!
LISU WAS MY NO.1 FAVORITE POLITICIAN!