wasiiolewa 2014!!!!

KRS

Member
Joined
Sep 9, 2014
Posts
32
Reaction score
5
Kama ww ni msichana na unatamani sana kuolewa!!lakini mwaka 2014 umepita kavu kavu!!ujipange 2015 nyavu zikunase!! Kikubwa kuwa mwaminifu!! Acha kuboom hela wanaume siku ya kwanza!! Boresha mwonekano wako!! Jiheshimu!!!wadau ongezeeni nilichomis hapo!!! Wale wote watakaojiupdate mnitafute!! Nataka nivue mmoja!!!
 
Nan kakuambia ndoa anapanga mwanadam? Ndoa hupanga manani sie watekelezaji tu na kwa taarifa ako hata mola asiandike kuolewa hata uoge pwani huolewi abadan
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…