Wasifu wa Samia Suluhu Hassan

Wasifu wa Samia Suluhu Hassan

Huyu ndiyo rais tuliomsikia jana.

Kumbe kina Lissu, Lema na wenzake walikuwa wanaokota kwa SamiašŸ˜…
 
Hamna kitu hapo
Hivi hawa watu wanamchukuliaje Rais? Walitegemea aje kuwabembeleza au?

Yaani mtake kupindua serikali halafu mbembelezwe? Kwamba nyie nani? Au mna umuhimu gani?

HAWANAGA AKILI HAWA 🚮
 
Back
Top Bottom